Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Una taarifa Jerry Riyami alifariki?
 
Kawa mchaMungu siku hizi msimseme nifah mi naogopaa[emoji17][emoji17][emoji17]
 
Sasa huo ndiyo utapeli? Kumtengenezea mtu passport ndiyo utapeli? Hata babake mdogo Zungu naibu spika, Mzee Hussein Azan ilikuwa ndiyo kazi yake.

Hivi mnaufahamu utapeli au mnausikia tu?

Kishatolewa jela, kashinda rufaa,
 
Mbona siku nyingi huyuu ka Kuna MTU WA mjini hajui pole yake!!
Afu anatongoza sasaa!!!
Huyu mtu namheshim sana hasa kile kipindi chake cha asubuhi jumapili pale clouds Cha jicho la tofauti!!

Kuna wengine Wana tatizo la hormones Sasa sijui na huyu nae!!

Mi kina chonishangaza mtu mwenye akili timamu anawezaje ku disa mbele ya mwanamme mwenzake!!hapo tu!!
 
Sasa huo ndiyo utapeli? Kumtengenezea mtu passport ndiyo utapeli? Hata babake mdogo Zungu naibu spika, Mzee Hussein Azan ilikuwa ndiyo kazi yake.

Hivi mnaufahamu utapeli au mnausikia tu?

Kishwachiwa jela, kashinda rufaa,
Hawajui kitu,mtu wa kuwarahisishia watu kazi siyo utapeli. Wengi humu ni wakuja. Faiza wewe ni Mama yangu aisee,heshima kwako na nina uhakika Mama yangu mmekua wote Kkoo enzi hizo. Heshima Kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…