X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Hapana
jamani Nifah umemjibia🤣🤣🤣 ngoja nimfuate pm akanipe ubuyu🥰🥰🥰
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana
Kaachiwa muda sana na tangu aachiwe afya yake tia maji tia maji hakauki hospitalHatimaye thread imeachiliwa… Nilikuwa nagugumia huko kwa kushindwa kukujibu.
Asante kwa kumpa ukweli wa mambo FaizaFoxy
Hilo la kuachiliwa ngoja niingie mzigoni, nitakurudia.
Una taarifa Jerry Riyami alifariki?Kuna kitu mtu kanikumbusha, huyo Zahir Zorro nimesoma nae Primary Dar. Nilimsahau kabisa. Alikuwa darasa moja nyuma yetu, Kisarawe Primary School.
Huyo Shagy hatujamfahamu wote, AbdulKareem tuliowafahamu ni kama nilivyokueleza juu huko, na anaefanana na jina Shagy, ni Shedi Sheni, mtoto wa gerezani huyu alikuwa anapiga organ, Mwenyezi Mungu amrehem.
Kuna mtu mwingine nyumba uliyoitaja alikuwa akiitwa Hamza. Halafu wengine tuliwajuwa ni kina marehem Jerry Riyami, hao wote tukijuwana sana utotoni, mtaa huo huo lakini kama unarudi kwenda shule ya Zanaki.
Siku nikimpata au nikimkumbuka ntakujulisha lakini mpaka sasa picha yake haiji kabisa katika watu niliowafahamu enzi hizo mitaa hiyo.
Ukitoka nyumba hiyo unayoisema ukienda kama unaelekea Muhumbili kulikuwa kina Bate, ndugu watatu mabaharia na baba yao alikuwa Captain wa meli. Nadhani wanaishi Australia hivi sasa kasoro mmoja nilikuwa naonana nae Kariakoo, anaitwa Othman, wenhine ni Farouq na Mustafa. hawa ni mitaa hiyo unayosema na walikuwa hawatoki hiyo nyumba, walikuwa na kijiwe chao kinaitwa Black September.
Hapo hapo kwa kina Bate walikuwa Waunguja, kwa Mzee Musa, kina marehem Selemani Mabalungi na dada zake wawili walikuwa marafiki zangu.
Lini kafariki duu?Una taarifa Jerry Riyami alifariki?
Alisema nifah akabishiwa na kutukanwa kuhusu hiliHuyo huyo msimamizi wa dogo mla cocaine first grade
Mmmhh...?!!jamani kaahhhMdogo ake boss kubwa S? Huyu c wa Priva, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona siku nyingi huyuu ka Kuna MTU WA mjini hajui pole yake!!code nilikosea kuifungua ila sasa nimejua kuwa coca alimaanisha har...s k..p..ga huyu ni kweli kwenye hizo issue....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji3]So Yanga ni mapunga f.c! This is the most disturbing realization in 2023!
Kawa mchaMungu siku hizi msimseme nifah mi naogopaa[emoji17][emoji17][emoji17]Sasa ukianzisha thread uwe unaniita basi na wewe.
Yani hadi zinafungiwa mi sijui jamani? Uko serious kweli Mkuu?
Haya tuendelee na zee la ganda la ndizi [emoji1787][emoji1787]
Hivi enzi zile yule dada mzuri aliyekuwa anaigiza kama mpenzi wake Naro alipiga kweli au?
Yule nae alikuwa maharage sana, nilipewa story zake na wadogo zake na yule mganga wake wa Kisukuma aliyefariki nilichoka!
Sasa jux nae hujui mbona kitambo na singida boy kaaah ndo michezo YaoTupe tupe connection
Afu mbona uzi ausogei
Afu ivi jux analiwa kweli au maan dunia ina mambo hii
Sasa huo ndiyo utapeli? Kumtengenezea mtu passport ndiyo utapeli? Hata babake mdogo Zungu naibu spika, Mzee Hussein Azan ilikuwa ndiyo kazi yake.Faiza kumbe unamjua Salma upande mmoja tu, hukua unamjua vizuri,
Salma ni tapeli wa matapeli, hapo nyumbani kwake Upanga hakuna dili zilizokua hazipigwi, uhamiaji ilikua kwake (ukitaka passport unaenda kwake anatengeneza chap),
Enzi za Kikwete alikua hashikiki, polisi walikua wanaogopa kwenda kwake kumkagua, ila Magufuli ndie aliyemkomesha na kumtia ndani hadi kumfunga hiyo miaka 99,
Huyo Mariam hawezi kumjukuu Dr. Cheni kwanza Cheni anaweza kua agemate wake au Cheni kamzidi kidogo pia sidhani kama Mariam ana mtoto, ninachojua ni mashine ya kusaga na kukoboa na ana 'mke' kabisa anaishi nae japo anawabadilisha sana,
Sema sasa reporter Nifah imekuaje hujajua kama Salma alishatoka jela? japo ilikua kimya kimya watu wasijue ila alipunguziwa miaka hadi akapewa miezi kadhaa na hakuimaliza akatoka kwa msamaha.
Ok, yes nimeona. Huyo tumeishi nae pale Ilala Breweries Flats.Msomeni vizuri kwenye hiyo post amemtaja kama marehemu, anafahamu hilo.
Huyu mtu namheshim sana hasa kile kipindi chake cha asubuhi jumapili pale clouds Cha jicho la tofauti!!Mbona siku nyingi huyuu ka Kuna MTU WA mjini hajui pole yake!!
Afu anatongoza sasaa!!!
Hawajui kitu,mtu wa kuwarahisishia watu kazi siyo utapeli. Wengi humu ni wakuja. Faiza wewe ni Mama yangu aisee,heshima kwako na nina uhakika Mama yangu mmekua wote Kkoo enzi hizo. Heshima Kwako.Sasa huo ndiyo utapeli? Kumtengenezea mtu passport ndiyo utapeli? Hata babake mdogo Zungu naibu spika, Mzee Hussein Azan ilikuwa ndiyo kazi yake.
Hivi mnaufahamu utapeli au mnausikia tu?
Kishwachiwa jela, kashinda rufaa,