X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Nimekusaidia usilishwe matango pori, yeye anaweza kujua kuliko mimi muhusika?
Wewe nenda tu ila ukweli nimeshakupa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie najuaga wanaume hasa straight hamtak umbea.Ni sehemu ya kurelax, unayajua usiyoyajua.
Ubongo una relax.
SALAAM ANABUSTIWA NA DI......O[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cheni miaka ya 20's mwanzoni alikua anatunzwa na shangazi angu kabisa anaitwa mama mzungu sasa huyu nae wa lini??
Sasa hizi ni code? Mbna simple tyuuh.
Km ni Dr mikufu na huyo the greatest si walisha share bwana kutoka mjengoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie najuaga wanaume hasa straight hamtak umbea.
Duuuh! Hivi wana upungufu gani hawa vijana....!!??Hujaelewa nn hapoo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kamwe ni mke wa Rais.
Ndio hizo mishe za kugawa ndogo kwa matajiri wa kiarabuHamna bwana, jamaa ana mishe zake tu.
Vijana wa mjini wanataka maisha mazuri na kazi hawataki kufanya. Matokeo yake wanageuzwa wake za watu na mafirauniMungu atusaidie! 😢
Bibi tatizo lako mtu akishakua wa upande wako mahaba yanakuzidi.Sasa huo ndiyo utapeli? Kumtengenezea mtu passport ndiyo utapeli? Hata babake mdogo Zungu naibu spika, Mzee Hussein Azan ilikuwa ndiyo kazi yake.
Hivi mnaufahamu utapeli au mnausikia tu?
Kishwachiwa jela, kashinda rufaa,
Kwa hiyo kutengeneza passport nyumbani kwako sio utapeli?Hawajui kitu,mtu wa kuwarahisishia watu kazi siyo utapeli. Wengi humu ni wakuja. Faiza wewe ni Mama yangu aisee,heshima kwako na nina uhakika Mama yangu mmekua wote Kkoo enzi hizo. Heshima Kwako.
Kwa sababu mnaumiza watu kwa kuwazushia ushoga. Hili linaumiza sana. Hii bullying yenu sio jzuri. Ningekuwa mmojawapo ninayezushiwa hakika ningeipeleka JF mahakamani kwa kesi ya "defamation" na ningehitaji billions of money pia wanisafishe. Acheni huu upuuzi wa kuzushia watu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann lakinii??
Jamaa nliambiwa yupo singo ila anawafunua sana pisi kali zinazoenda kukanyaga wese pale uwanjan kuna dada mmoja ni mpangaji mwenzangu kashapiga sana na kamtelekeza mpaka sasa dada hakanyagi viwanja vya kaweAna kabinti amekazalisha kanampelekesha sana ukiachana na yule utukumbuke na naiona kesho
Ukabarikiwe kanisa katoliki kwa maagizo ya papa.Nimeshapata