X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Nimekusaidia usilishwe matango pori, yeye anaweza kujua kuliko mimi muhusika?
Wewe nenda tu ila ukweli nimeshakupa.
hapana lazima na ubuyu wako tuule...haiwezekani...wewe utulishe ubuyu wa watu wengine harafu wako hutaki uliwe🤣🤣🤣🤣