Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Matukio yake ya utapeli yamesemwa sana huko juu hujayaona? Hukumu yake hujaisoma?

Najua alishatoka na hata alipokua mahabusu Segerea nimeenda zaidi ya mara 3 kumuona (nina ukaribu na watoto zake wale wadogo sio Mariam)
Hakuna hukuma, hiyo iliyobandikwa ni kesi ya mirathi na nyumba, hakuna hukumu ya kidungo sijaiona.


Huo utapelei kama ulivyosema "umesemwa" na kahukumiwa lna mahakama ya chini, mahakama ya rufaa ikaifutilia mbali hiyo hukumu na kawachiwa.

Sheria za Tanzania ukiwachiwa na mahakama ya rufaa ndiyo huna hatia na huku mu yoyote iliyofanyika kabla inaxhukuliwa kuwa ilifanyika kimakosa.

Upo hapo ulipo?
 
NGOJA NIONGEZEE NYAMA SASA....
MNAJUA WATU WENGI HAPA TZ WANAISHI KUSINDIKIZA WATU...
MTOTO WA KIGOGO""P"" ALIKUA MWANANGU ENZI HIZO SMARTPHONE NDIO ZINAINGIA MJINI KWA WINGI...
DILI ZETU ZIKAWA KUUZA SIMU ZA MAGUMASHI DOWNTOWN NA TUKIPATA VIJISENTI,,,TUNAJICHANGANYA NA WATOTO WA KISHUA WA UHINDINI KULA BATA....KWENYE HOTEL ZA BABA ZAO
SASA MM NILIKUA MTOTO WA KITAA NA HELA SINA KIVILE MPAKA NIUZE SIMU AU NIPIGE DILI CHAFU NA MWANANGU MODO MKIA AMBAE YUPO JELA THAILAND NOW....
MWANANGUMTOTO WA KIGOGO""P"" YEYE MTOTO WA KISHUA,,,,,,IKITOKEA TUNATAKA KWENDA KUFANYA VURUGU KITAANI NA HATUNA HELA""UTASIKIA NGOJA NIMPIGIE MAMA ATUONGEZEE"""
DAKIKA SIFURI IMEKUJA NDINGA NA ANAPEWA KIFUKO CASH.TATIZO NI KWAMBA MWANANGU ALIKUA MLEVI MBWA NDIO STAREHE YAKE KUBWA KABLA HAJAANZA KUTUMIA PODA.KWAHIYO FUKO LOTE NAKAA NALO NA HAULIZI CHENJI AU MASALIA MM NDIO MUHASIBU AFU YEYE NDIO ANANIONGOZA VIWANJA VYOTE V.I.P
I MEAN WIKI NZIMA TUNAIZUNGUKA TZ VIWANJA VYOTE V.I.P HOT SPOT,S ALMOST MIKOA MINNE YA TZ HUKO HUINGII BILA KUCHOMEKEA AU KUPIGA CASUAL NADHIFU...
KUNA V.I.P CLASSIC UNAINGIA KWA CARD AU MPAKA UONGOZANE NA MEMBER WA ENEO HUSIKA NA ZOTE HIZO ZIPO HAPA HAPA TZ [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] TAFUTA HELA UZIJUE MKUU
TUMEPISHANA SANA KWENYE COUNTER NA WASHUA WENYE UKWASI KUTOKA MJENGONI DOM.PIA AKIWEMO KAKA BISHOO MZEE WA SUTI KALI KALI KWA CODE TUNAMUITA MGANGA MIKUFU A.K.A MARIOO MWENYE MIPANGO [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]....JAMAA JAPO MCHICHA MWIBA ILA KAWALA SANA MADOGO WENYE SHOBO ZA HELA...HASA WALE WANAOJIBINUA BINUA INSTAGRAM..
UKITAKA KUFAIDI MAISHA YA ANASA HAPA TZ BASI TAFUTA HELA AU KAA NA WATU WENYE MATUMIZI YA HELA...AU KAA NA MASTAA WA BONGO SEKTA ZOTE WENYE CONNECTION ZA WADAU......UTAONA YOTE NA KAMA WEWE MTU WA TOTOZ,,,BAS UTAKINAI MWENYEWE HAO MNAOWAITA MAVIDEO VIXEN NA WABONGO MOVIE WENYE SHOBO ZA MIKWANJA MBUZI
NB: KUNA NYAKATI MWANANGU NA MIMI TULIKUA TUNATEMBEA NA 17 MILION CASH AFU ANANIAMBIA TUIMALIZE HII NDANI YA WEEK DILI ZITAKUJA ZINGINE NA TUKIKWAMA MAMA YUPO....FULL KUWAWINDA MAVIDEO VIXEN NA MABONGO MOVIE [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]DUUH UJANA MAJI YA MOTO
NASIKITIKA MWANAGU BAADAE ALIISHIA KUA TEJA NA OVERDOSE NDIO ILIMUUA.
MOTHER YAKE ALINILAUMU SANA KWANINI SIKUMSHAURI RAFIKI YANGU ASIJIINGIZE KWENYE UTEJA.....
MIMI NILIPOENDA KUONGEZA ELIMU KIDOGO,,BAS MWANANGU AKAPATA MARAFIKI WAPYA WATOTO WA KINONDONI NDIO WALIOMPOTEZA KWENYE UTEJA,,,WAKATI HUO RAFIKI ZAKE HATUNA HABARI NA TULIPOONANA NAE TAYARI ALIKUA AMEBOBEA NA ANATUKWEPA......
ALIJIOVERDOSE NDIO IKAWA HIVYO...R.I.P HOMEBOY TAJIRI MTOTO,,,MZEE WA KUSHOBOKEWA NA MAVIDEO VIXEN KISA UKWASI WA MSHUA.
******Hii story niliyoadithia inanikumbusha brother na homie,s wangu wa mitaa ya mikocheni B tulikua tunakutana kule KINGOKO,,,,,,nae alikua teja ila alikua na love sana na sisi homiez wa kitaani,,,,full kutupa advice za maisha na namna gani tusijiingize katika dili chafu tukaishia jela na namna gani hela inatafutwa kwa kutumia akili na sio nguvu au tamaa....watu flani hv walimgeuza punda na akawa kontena na mwishoe akaishia kua teja..na ndio maana kwenye msiba wake majani aligombana sana na BOSI KUBWA WA KAULI MBIU TUNAKUFUNGULIA DUNIA akimlaumu kua ndio kafanya brother awe teja baada ya kumgeuza punda*******AMANI KWA KAKA VODA MILIONEA MWAMBIE MDOGO WAKO AACHE USHOGA NA UMBEA******R.I.P HOMEBOY LA......,......!!!!!
Story ni nyingi ila mda mchache......!!!
Mbona una mix mix tu Kama dj choka msela wa king'oko na lawama za majani wapi wapi!?
 
Majani alimaindi sana,,,,,,,BOSI KUBWA ALIMPOTEZA PIA MWANA CHEMBA KUA TEJA.. !!!!
Hivi isssue ya bashite kuvamia kule ulidhani alikua anatania????
Anajua alichokua anakifanya...
NB: kigogo""P"" siwezi kufungua code zaidi,,,,,itifaki inazingatiwa madam [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamii forum haina itifaki
Funguka mkuu
 
Nani kakwambia passport alikuwa anatengenezea nyumbani? Kuwarahisishia watu foleni ya usumbufu wa kupata Passport uhamiaji ni utapeli? Leo hii nikitaka kupata Leseni ya Biashara kwa haraka bila kucheleweshwa na nikamtumia mtu mwenye connection pale Halmashauri huyo mtu ni tapeli au ni mjanja tu wa mjini anaetumia urasimu wa maofisini kama fursa? Kuna watu wengi mission town wanaitwa matapeli wakati kiuhalisia siyo matapeli.
Mfano hata mimi nina jamaa zangu wapo idara mbalimbali za serikalini ambazo kwa baadhi ya huduma kwa utaratibu wa kawaida zinachelewa ila mimi nina uwezo wa kuwatumia wanirahisishie kazi, sasa nikifanya hivyo kwa kuwasaidia wengine na hao ninaowasaidia wakawa wananilipa kidogo huo ni utapeli?? Unajua saivi **** watu wanalipwa kwa ajili ya kukaa tu kwenye foleni kwa niaba ya wengine??
Mkuu naomba nije pm nina tafazali nina kitu unaweza nisaidia japo kwa mawazo
 
Back
Top Bottom