Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Nelson Jacob Kagame wewe ni mtu na nusu aiseeee nasubiri uzi wako.... plz nitag mkuu.

Sijazaliwa kariakoo lakini mishe zngu nyingi ni hapo downtown nimeanza kuimaster hyo kariakoo toka 2014.
KITAMBO NAINGIA KKOO NILIPELEKWA NA BISHOO MMOJA AITWAE MODO MKIA MZEE WA KUTUPIA MIDOSHO YA CHINA.
KKOO KITAMBO TOKA ENZI ZA MKOREA DUKA PEKEE LA KUUZA PAMBA...
ROLE MODEL WA VIJANA ENZI HIZO NI MABISHOO WA ZERO BRAIN.
TUPO PAMOJA MKUU
 
Kwa sababu mnaumiza watu kwa kuwazushia ushoga. Hili linaumiza sana. Hii bullying yenu sio jzuri. Ningekuwa mmojawapo ninayezushiwa hakika ningeipeleka JF mahakamani kwa kesi ya "defamation" na ningehitaji billions of money pia wanisafishe. Acheni huu upuuzi wa kuzushia watu.

Imekuuma ya Warumi, sasa kafaidika nini na kuumiza na kuzushia watu. Muda alioutumia kuzushia na kuumiza wengine si bora angeutumia kutengeneza na Mungu wake? Sasa anakula Mbaranga na makwenzi toka kwa mapepo huku alipo. Anavuna alichopanda. Bado nawe siku yako yaja usipobadilika na kutengeneza na Mungu wako. We kila mtu ni shoga huko Daslama. Yaani kuvulowa uanaume kwako no kotu kidogo tu haya Simi inamvua mtu uanaume huko Daslama.

Badilikeni hii haisaidii zaidi ya kuumiza. Katika jamii zetu za kiafrika ni bora umzushie mtu mwizi, mvuta bangi au anauza madawa ya kulevya ila sio ushoga. Ni fedheha kubwa katika jamii.
Kaka nikuambie kitu ,labda kosa ni kutoa Siri zao ila kuhudu gayism ni 90%ya hizi info ni kweli broo!!!Kuna watu hapo hawasingiziwi wanazifanya Kuna mtu mmoja siwezi mtaja ni Basha mtu mzto sana ktk hii nchi mwingine ni shoga Yuko kwenye hizi taasisi kubwa mnooo
Haya mambo yapo hao wanajulikana Kwa kua wanafanya wanaonwa ila ukisema uanze kufatilia haya mambo mtihani
Tuombee vizazi vyetu TU vya kike na vya kiume
 
Unamaanisha kwenye muhimili wa Bunge,
Bunge Lina mabasha wengi Tu, nadhani ni kwasababu ya imani za kishirikina ili kupata vyeo vya juu kama uwaziri , uspika
 
Back
Top Bottom