Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Aaaah Queen ushaanza mdogo wangu plzzzz 🤣🤣🤣Mkuu nina jambo na najua unaweza kuwa msaada sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaah Queen ushaanza mdogo wangu plzzzz 🤣🤣🤣Mkuu nina jambo na najua unaweza kuwa msaada sana
Alikuwa ana macho fulani hivi ilikuwa kila nikimungalia yeye na sintah nilikuwa natamanigi niwahi kuwa mkubwa 😄 sasa nimekuwa ebhanaeeeeeeNdio kaolewa yaani Norah sio yule Tena ,yaani amekua mcha Mungu mnoo
Seious bro....[emoji12] nimeona fursaAaaah Queen ushaanza mdogo wangu plzzzz [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha kabisa ni kuomba TU Mungu ila haya mambo yapo halafu Kwa watu waziri na maagano yaoUnamaanisha kwenye muhimili wa Bunge,
Bunge Lina mabasha wengi Tu, nadhani ni kwasababu ya imani za kishirikina ili kupata vyeo vya juu kama uwaziri , uspika
Poleee wee.Eeeh! Dunia ina mambo?! Hivi hizi stori za kweli ama mmeamua kuchangamsha genge
D na MMi nitajie tu huyo beki hata kwa namba yake ya jezi jamani!
Ni fashiiiiioooooon!!!Duuuh! Hivi wana upungufu gani hawa vijana....!!??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna mabwakuuuWeeee kwa hilo hapana dear, kujua habari za mjini kuna shida gani?
MfyuuuuuuKwa sababu mnaumiza watu kwa kuwazushia ushoga. Hili linaumiza sana. Hii bullying yenu sio jzuri. Ningekuwa mmojawapo ninayezushiwa hakika ningeipeleka JF mahakamani kwa kesi ya "defamation" na ningehitaji billions of money pia wanisafishe. Acheni huu upuuzi wa kuzushia watu.
Imekuuma ya Warumi, sasa kafaidika nini na kuumiza na kuzushia watu. Muda alioutumia kuzushia na kuumiza wengine si bora angeutumia kutengeneza na Mungu wake? Sasa anakula Mbaranga na makwenzi toka kwa mapepo huku alipo. Anavuna alichopanda. Bado nawe siku yako yaja usipobadilika na kutengeneza na Mungu wako. We kila mtu ni shoga huko Daslama. Yaani kuvulowa uanaume kwako no kotu kidogo tu haya Simi inamvua mtu uanaume huko Daslama.
Badilikeni hii haisaidii zaidi ya kuumiza. Katika jamii zetu za kiafrika ni bora umzushie mtu mwizi, mvuta bangi au anauza madawa ya kulevya ila sio ushoga. Ni fedheha kubwa katika jamii.
Noumaa na nusuuuu,NGOJA NIONGEZEE NYAMA SASA....
MNAJUA WATU WENGI HAPA TZ WANAISHI KUSINDIKIZA WATU...
MTOTO WA KIGOGO""P"" ALIKUA MWANANGU ENZI HIZO SMARTPHONE NDIO ZINAINGIA MJINI KWA WINGI...
DILI ZETU ZIKAWA KUUZA SIMU ZA MAGUMASHI DOWNTOWN NA TUKIPATA VIJISENTI,,,TUNAJICHANGANYA NA WATOTO WA KISHUA WA UHINDINI KULA BATA....KWENYE HOTEL ZA BABA ZAO
SASA MM NILIKUA MTOTO WA KITAA NA HELA SINA KIVILE MPAKA NIUZE SIMU AU NIPIGE DILI CHAFU NA MWANANGU MODO MKIA AMBAE YUPO JELA THAILAND NOW....
MWANANGUMTOTO WA KIGOGO""P"" YEYE MTOTO WA KISHUA,,,,,,IKITOKEA TUNATAKA KWENDA KUFANYA VURUGU KITAANI NA HATUNA HELA""UTASIKIA NGOJA NIMPIGIE MAMA ATUONGEZEE"""
DAKIKA SIFURI IMEKUJA NDINGA NA ANAPEWA KIFUKO CASH.TATIZO NI KWAMBA MWANANGU ALIKUA MLEVI MBWA NDIO STAREHE YAKE KUBWA KABLA HAJAANZA KUTUMIA PODA.KWAHIYO FUKO LOTE NAKAA NALO NA HAULIZI CHENJI AU MASALIA MM NDIO MUHASIBU AFU YEYE NDIO ANANIONGOZA VIWANJA VYOTE V.I.P
I MEAN WIKI NZIMA TUNAIZUNGUKA TZ VIWANJA VYOTE V.I.P HOT SPOT,S ALMOST MIKOA MINNE YA TZ HUKO HUINGII BILA KUCHOMEKEA AU KUPIGA CASUAL NADHIFU...
KUNA V.I.P CLASSIC UNAINGIA KWA CARD AU MPAKA UONGOZANE NA MEMBER WA ENEO HUSIKA NA ZOTE HIZO ZIPO HAPA HAPA TZ [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] TAFUTA HELA UZIJUE MKUU
TUMEPISHANA SANA KWENYE COUNTER NA WASHUA WENYE UKWASI KUTOKA MJENGONI DOM.PIA AKIWEMO KAKA BISHOO MZEE WA SUTI KALI KALI KWA CODE TUNAMUITA MGANGA MIKUFU A.K.A MARIOO MWENYE MIPANGO [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]....JAMAA JAPO MCHICHA MWIBA ILA KAWALA SANA MADOGO WENYE SHOBO ZA HELA...HASA WALE WANAOJIBINUA BINUA INSTAGRAM..
UKITAKA KUFAIDI MAISHA YA ANASA HAPA TZ BASI TAFUTA HELA AU KAA NA WATU WENYE MATUMIZI YA HELA...AU KAA NA MASTAA WA BONGO SEKTA ZOTE WENYE CONNECTION ZA WADAU......UTAONA YOTE NA KAMA WEWE MTU WA TOTOZ,,,BAS UTAKINAI MWENYEWE HAO MNAOWAITA MAVIDEO VIXEN NA WABONGO MOVIE WENYE SHOBO ZA MIKWANJA MBUZI
NB: KUNA NYAKATI MWANANGU NA MIMI TULIKUA TUNATEMBEA NA 17 MILION CASH AFU ANANIAMBIA TUIMALIZE HII NDANI YA WEEK DILI ZITAKUJA ZINGINE NA TUKIKWAMA MAMA YUPO....FULL KUWAWINDA MAVIDEO VIXEN NA MABONGO MOVIE [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]DUUH UJANA MAJI YA MOTO
NASIKITIKA MWANAGU BAADAE ALIISHIA KUA TEJA NA OVERDOSE NDIO ILIMUUA.
MOTHER YAKE ALINILAUMU SANA KWANINI SIKUMSHAURI RAFIKI YANGU ASIJIINGIZE KWENYE UTEJA.....
MIMI NILIPOENDA KUONGEZA ELIMU KIDOGO,,BAS MWANANGU AKAPATA MARAFIKI WAPYA WATOTO WA KINONDONI NDIO WALIOMPOTEZA KWENYE UTEJA,,,WAKATI HUO RAFIKI ZAKE HATUNA HABARI NA TULIPOONANA NAE TAYARI ALIKUA AMEBOBEA NA ANATUKWEPA......
ALIJIOVERDOSE NDIO IKAWA HIVYO...R.I.P HOMEBOY TAJIRI MTOTO,,,MZEE WA KUSHOBOKEWA NA MAVIDEO VIXEN KISA UKWASI WA MSHUA.
******Hii story niliyoadithia inanikumbusha brother na homie,s wangu wa mitaa ya mikocheni B tulikua tunakutana kule KINGOKO,,,,,,nae alikua teja ila alikua na love sana na sisi homiez wa kitaani,,,,full kutupa advice za maisha na namna gani tusijiingize katika dili chafu tukaishia jela na namna gani hela inatafutwa kwa kutumia akili na sio nguvu au tamaa....watu flani hv walimgeuza punda na akawa kontena na mwishoe akaishia kua teja..na ndio maana kwenye msiba wake majani aligombana sana na BOSI KUBWA WA KAULI MBIU TUNAKUFUNGULIA DUNIA akimlaumu kua ndio kafanya brother awe teja baada ya kumgeuza punda*******AMANI KWA KAKA VODA MILIONEA MWAMBIE MDOGO WAKO AACHE USHOGA NA UMBEA******R.I.P HOMEBOY LA......,......!!!!!
Story ni nyingi ila mda mchache......!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km mwenzake wa Mapinga, tena yule anataka umtumie na mkunyenge auone kwani, ajipange vipi kuuinamiaaaMc pil........analiwa kitambo.....na anahonga...
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] mm mwenyewe ningekua mdau wa mambo hayo ningeshamla......
Ana shobo na wanaume warefu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahWewe huna shida ya hela! Waliojipindia wako tayari hata kugongwa, sembuse kugonga lishangazi, hiyo si kama kunywa maji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si unaona nimekuuliza kwa code? Wanamitindo wako wengi na mishangazi ya bongo movie iko mingi [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya mambo bwana sio ya kumlaumu mtu, huwezi jua kwanini ameamua kufanya hivyo, ndoa zina siri.
Wewe hujakutana na pasua kichwa, kama mpaka Rais anapasuliwa kichwa itakuwa wewe mtoto wa mjini? Usiniulize ni Rais gani [emoji38]
Ni Putin [emoji12]
Kabisaaa kila mtu ana dark side yake, hata hao wazazi wana yao pia.Wazazi wangejua watoto wao wanaoyafanya, wasingeweza kuwaangalia kwa innocent eye ndio maana Mungu akaweka Siri ili kila mmoja apambane kivyake
Shangaziii ulipoteleaa wapiiii?Sope ni nani?
Aunt cocastic msaada
Huu uzi inabidi nije na id mpya nijiachie..
Maana wahusika ni "udugu wangu kabisa"
Sio tena bikra ya Lulu wa majizo..?[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2851623
Mafanikio ni mafanikio, haijalishi njia zilizotumika kuyafikia… mwisho yataitwa mafanikio bila kujali kama ni kwa njia halali au kupitia njia haramu.
Na daima mafanikio hutukuzwa, na waliofanikiwa hupewa heshima!
Muigizaji mkongwe, mfanyabiashara na mshereheshaji maarufu Mahsein Awadhi ‘Dr. Cheni ’ yeye mafanikio yake yamepitia kwa mwanamke, ndio vijana huita 'mishangazi '!
Si huwa wanasema mwanaume aliyefanikiwa nyuma yake kuna mwanamke? Ndivyo ilivyokuwa kwa Dr. Cheni… mwanamke aliyekuwa katika mafaniko yake sio mwanamke wa mchezo mchezo, ni mwanamke wa shoka kwelikweli!
Ukisikia mabalaa yake utabaki mdomo wazi, sio mwanamke, ni chuma!
NI SALMA MTAMBO!
View attachment 2851628
Bibie Salma Mtambo ni tapeli wa kupindukia. Akitapeli vijana kwa wazee, wanaume kwa wanawake.
Utapeli wa magari na kughushi nyaraka kwake ni jambo dogo na la kawaida kama kufumba na kufumbua macho!
Licha ya yote hayo, hakuna mkate mgumu mbele ya chai!
Bibie alikufa na kuoza kwa Dr. Cheni! Nini hakumpa Dr. Cheni? Mapenzi alimpa na mtaji wa biashara ya magari ambayo imemtajirisha sana Dr. Cheni alimpa yeye!
Kifedha na kwa kumpa baadhi ya magari yake mengi yaliyopatikana katika utapeli wake aanzie biashara hiyo.
Licha ya tofauti kubwa iliyokuwepo baina yao kiumri, haikuweza kuzuia mapenzi hayo mazito baina yao.
Kila mmoja akinufaika kwa namna yake, kimapenzi na kifedha!
Mapenzi yao yalikuwa mazito na yaliyojaa kufuru ya hela kutokana na utajiri wa kupindukia wa Salma!
ZA MWIZI AROBAINI…
Hakuna marefu yasiyo na ncha! Penzi la Dr. Cheni na ‘rich auntie’ Salma liliingia mdudu mara baada ya mfululizo wa kesi zilizomuandama Salma kutokana na ‘mission’ zake zilizomuweka mjini na kumpa heshima kubwa kutokana na ukwasi aliokuwa akiumiliki.
Ifahamike kwamba, utapeli wa Salma ulianzia miaka ya 90! Hivyo alikuwa na ‘Misala’ kibao!
Tamati ilifikia September 18 mwaka 2019 alipohukumiwa miaka 99 jela baada ya kupatikana na hatia katika mashtaka 17 ikiwemo kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu!
SALMA ALIA GEREZANI!
Baada ya Salma kupewa hukumu hiyo Dr. Cheni alipotelea kusikojulikana na Salma! Hakuwahi kuonekana kokote wala kumtembelea gerezani!
Salma anaumia zaidi kwa kuona kijana aliyempenda kwa moyo wote na kumpa kila kitu ikiwemo kushiriki katika ujenzi wa jumba la kifahari la Dr. Cheni akimtelekeza wakati alipokumbwa na matatizo!
Lakini, kesi za Salma ni mbaya na ni hatari zaidi kwa mtu maarufu na sasa mfanyabiashara mkubwa kujihusisha nae moja kwa moja.
Pengine ndio maana Dr. Cheni ameamua ‘kula kona’.
Hivyo basi, kama ilivyo ada ya muosha huoshwa na mshahara wa dhambi ni mauti… ndiyo yanayomsibu Salma! Anachuma aliyoyapanda kwa dhulma!
Ni yuleyule ripota kutokea JF mwenye chanzo chake nyeti…
Nawatakia sikukuu njema ya Krismasi,
Nifah
Nimeambatanisha baadhi ya nyaraka za kesi zilizokuwa zikimkabili Salma Mtambo.
View attachment 2852178
View attachment 2852179
Na hii
View attachment 2852170
View attachment 2852171
Hata wewe kama ulishindwa kufanikiwa kwa Habibu Bakili anga .... Alias The bold....
Hakika maisha yako yakuwa ni ya kurandaranda kwa kuuza ubuyu(umbea)! Wa watu...
Umeshindwa kutulia kwenye ndoa mlee familia!...!?
Wanao-Oa... Acha waendelee kuoa! Tu...maana hakuna namna!... Kama wanawake wenyewe ndio type ya kina wewe!!
Duh kumbe wameshaachana? Kweli ndoa za sikuiz maza fanta kabisa!!!Sasa hayo yamekujaje hapa jamani?
Sikia Mkuu, usiongelee mambo ya watu usiyoyajua, maisha ya watu yana mengi.
Naomba niishie hapo.