Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Matukio yake ya utapeli yamesemwa sana huko juu hujayaona? Hukumu yake hujaisoma?

Najua alishatoka na hata alipokua mahabusu Segerea nimeenda zaidi ya mara 3 kumuona (nina ukaribu na watoto zake wale wadogo sio Mariam)
Hakuna hukuma, hiyo iliyobandikwa ni kesi ya mirathi na nyumba, hakuna hukumu ya kidungo sijaiona.


Huo utapelei kama ulivyosema "umesemwa" na kahukumiwa lna mahakama ya chini, mahakama ya rufaa ikaifutilia mbali hiyo hukumu na kawachiwa.

Sheria za Tanzania ukiwachiwa na mahakama ya rufaa ndiyo huna hatia na huku mu yoyote iliyofanyika kabla inaxhukuliwa kuwa ilifanyika kimakosa.

Upo hapo ulipo?
 
Mbona una mix mix tu Kama dj choka msela wa king'oko na lawama za majani wapi wapi!?
 
Jamii forum haina itifaki
Funguka mkuu
 
Mkuu naomba nije pm nina tafazali nina kitu unaweza nisaidia japo kwa mawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…