Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hao MCs mbna karibia wote ni ngapulila, nilichoka kwa huyu MC na mwenye kanisa, wakati naambiwa habari zake nlikua siamini, maana akianza kumpamba mkewe na familia yake utasema baba bora.

Si alikuja kujichanganya kwa kijana wa chuo, lahaulaa yaan baba anatuma text kwa kumsifia kijana kuwa kamkaza vzuri, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Convo ilianza insta had tsup, kuzisoma mie hoii, afu anasisitiza awe msiri, alimpa 200k, walienda fanyia huko bagamoyo, inasemekana ana kapagale ka kufanyia ufuska wake.
[emoji119][emoji119]
Yule ambaye mke wake amegeuka motivation speaker?
 
Wewe mjengoni wamejaa wazibua mtaroo, akat had mtumbuliwa kwenye muhimili unaojitegemea ni mdau, tena yeye akiingiza tako 3 kamwaga wazanaki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sio ke wa me wote anapita nao.
Kawamaliza watoto wa CBE na mipango.
Yule mfupi kama simtank la lita 200? Doooh
Kale kazee si kalikuwa hata kutembea hakawezi kanachechemea?
 
Dar ni kubwa sana, unaweza kuwa unaijuwa mitaa yako, anaeongolewa hapa ni mtu wa mtaani kwangu Kariakoo. Kariakoo wote na gerezani yake na Jangwani na Upanda kuanzia miaka ya 80 kwenda nyumma tulikuwa tunajuwana wote. Labda uwe wakuja, na hata wakuja tunawajuwa, si ndiyo wenyeji wao sisi.
Basi Khadija Kopa alikukosha sana kwenye "Nalijua Jiji"
Haya wenye mji wenu Salma ndio huyo anatumikia kifungo kwa utapeli.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hao MCs mbna karibia wote ni ngapulila, nilichoka kwa huyu MC na mwenye kanisa, wakati naambiwa habari zake nlikua siamini, maana akianza kumpamba mkewe na familia yake utasema baba bora.

Si alikuja kujichanganya kwa kijana wa chuo, lahaulaa yaan baba anatuma text kwa kumsifia kijana kuwa kamkaza vzuri, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Convo ilianza insta had tsup, kuzisoma mie hoii, afu anasisitiza awe msiri, alimpa 200k, walienda fanyia huko bagamoyo, inasemekana ana kapagale ka kufanyia ufuska wake.
[emoji119][emoji119]
Huyu mc mwenye church unamaanisha liplip?
 
Kongwa 🤣🤣🤣😂😂😂😂 alikua na kale kabinti kake ka CBE kanatoa service...kanakaa kule bunju ushuani.
Ila Kongwa kawala bongo muvi karibia wote kuanzia 2015.....alimrithi mzee wa tabasamu kwa kuwala bongo muvi
Mama ntilie wa dodoma anajua
Tobaaaaa! Sasa kale kalivyo kafupi jamani!
Eh, wanawake tunaweza kulala na nyoka haki!
 
Back
Top Bottom