Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Tupe tupe connection

Afu mbona uzi ausogei

Afu ivi jux analiwa kweli au maan dunia ina mambo hii
Kama sio mods kutupoozesha kutwa nzima ya leo tungekuwa mbali sana, na ningeshawaletea ubuyu mwingine wa Mange na Kinje walivyochambana usiku wa kuamkia leo.
Yani wamechambanaaaa 🙌🏾🙌🏾

Huyo mlamba midomo yeye huwa anawala wenzie na rafiki yake yule jamaa kutokea Singida.
Ndio story yao kubwa inayofahamika.
 
Nifah unajua kuweka story kiutamu, very attractive to read..!!

Mashangazi watamu sana, na mimi huwa najua sehemu yao moja ukipatia vizuri, basiiii utakula mema yote ya dunia hii, utaona raha zisizo elezeka, walaah..!!
Asante sana Mkuu, nashukuru sana.

Haya wape siri na wenzio akina KENZY Mkuu, wanahitaji sana hilo somo.
 
Kama sio mods kutupoozesha kutwa nzima ya leo tungekuwa mbali sana, na ningeshawaletea ubuyu mwingine wa Mange na Kinje walivyochambana usiku wa kuamkia leo.
Yani wamechambanaaaa [emoji1487][emoji1487]

Huyo mlamba midomo yeye huwa anawala wenzie na rafiki yake yule jamaa kutokea Singida.
Ndio story yao kubwa inayofahamika.
M.o.d.s wanaendesha huu mtandao Kizee sana sijui wanafikiri wote ni wazee em tuletee ubuyu wa Kibakuli kafanyaje uko daslam?
 
Miiko gani Mkuu?
Huyu Bi Mkubwa si aligombea ubunge Tanga kupitia ACT 2015?
Kabla ya hapo alikuwa anataka ubunge kupitia CCM akakosa..hisia zake zilipelekea akaichukia kumbe hajui ndio aliharibu kila kitu.

Mbaya zaidi hakutaka kusubiri na kama angesubiri basi huu ungekuwa wakati wake wa kuwa mbunge.

Daah juzi kati mdogo ake kipenzi amefariki.
 
Hizo ndio lobbying, Unakaa na matajiri ili uwe tajiri

Mtu ambaye anaona jamaa hastahili kuishi kwenye apartment nzuri, kuendesha gari nzuri na kuvaa vizuri kwa sababu hajatoa nyimbo. Atakuwa hajui hizo issue za ommy zinaweza muingizia kiasi gani
Unaonekana kufahamu mambo, ni wachache wanalijua hili.
Mimi mpaka leo nimegoma kuamini maana nazijua hizi mishe zake.
 
Umeleta umbea ukakutana na professionals 🤣🤣🤣🤣
Jf watu wanajua vitu halafu wanakaa navyo tu siku mtu akigusa tu watu wanamwagikaaa
Kwakweli watoto wa mjini wametishaaaa
Ni kama ile thread ya Lulu na Kiba ilikuwa balaa!

Ngoja tuone threads zijazo itakuwaje, wamenipa hamasa ya kuleta ‘vyombo’ 🤣
 
Kabla ya hapo alikuwa anataka ubunge kupitia CCM akakosa..hisia zake zilipelekea akaichukia kumbe hajui ndio aliharibu kila kitu.

Mbaya zaidi hakutaka kusubiri na kama angesubiri basi huu ungekuwa wakati wake wa kuwa mbunge.

Daah juzi kati mdogo ake kipenzi amefariki.
Wewe nimekunyooshea mikono, umeleta upande mwingine wa story na kuna uwezekano mkubwa wa moja kwa moja kuhusiana na hilo.

Bi Mkubwa ana misala mingi tena tokea zamani, kwanini afungwe 2019?
Mkuu umetisha sana 👏🏽🙌🏾

Masikini, Mungu amrehemu.
Unaonekana kumfahamu kiundani, vipi yuko uraiani kweli?
Naulizia wakati huu nikiwa nasubiri taarifa ya uhakika kutoka kwa chanzo changu kikuu.
 
Back
Top Bottom