Mzee wangu Slay Shaggy,,,jina lake kamili ni Abdulkareem Al Majid,,,,,,chotara wa kiarabu na rafiki wa karibu sana wa uncle Zahir zorro!!
Mzee wake Majid alikua mwarabu wa kutokea Sana'a Yemen...na mama yake alikua manyema wa tabora..
Mzee majid alikua hakai kkoo,,mda mwingi Sanaa Yemen ila familia yake ndio ilikua inakaa,,kule nyuma ya lile jengo ambalo baadae likikuja kua fire station mpaka leo,,,,,pale opposite na iliyokua baadae jangwani sec school.
Slay Shaggy na uncle Zahir zorro moja wa mabishoo wavaa nguo nzuri nzuri miaka hiyo ya 1960,s na 1974,s alipoondoka Tanzania na kwenda Sana'a kutafuta maisha zaidi!!
Nadhani miaka hiyo ya 1962 mpaka 1974 ulikua bado mdogo sana ww,,upo chekechea