cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noumaaaahLamada Ilala [emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noumaaaahLamada Ilala [emoji16]
Kumekuchaaaaaaa!!!!Faiza kumbe unamjua Salma upande mmoja tu, hukua unamjua vizuri,
Salma ni tapeli wa matapeli, hapo nyumbani kwake Upanga hakuna dili zilizokua hazipigwi, uhamiaji ilikua kwake (ukitaka passport unaenda kwake anatengeneza chap),
Enzi za Kikwete alikua hashikiki, polisi walikua wanaogopa kwenda kwake kumkagua, ila Magufuli ndie aliyemkomesha na kumtia ndani hadi kumfunga hiyo miaka 99,
Huyo Mariam hawezi kumjukuu Dr. Cheni kwanza Cheni anaweza kua agemate wake au Cheni kamzidi kidogo pia sidhani kama Mariam ana mtoto, ninachojua ni mashine ya kusaga na kukoboa na ana 'mke' kabisa anaishi nae japo anawabadilisha sana,
Sema sasa reporter Nifah imekuaje hujajua kama Salma alishatoka jela? japo ilikua kimya kimya watu wasijue ila alipunguziwa miaka hadi akapewa miezi kadhaa na hakuimaliza akatoka kwa msamaha.
Hujaelewa nn hapoo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hapo sio ridhki ni Eng au Kamwe?!
Kumekuchaaaaaa!!!!!Nifah kila uzi wangu wa udaku unapigwa ban [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo mm mpana sana ila natumia code...
Kuna nyuzi tatu za watoto wa mjini nimepigwa ban zisiendelee..
NGOJA NIENDELEE HUMU HUMU KWAKO..
TATIZO MADOGO WA KUBANA PUA WANAJIFANYA WAJUAJI SANA...
UTASIKIA MARA OOOH BABU YANGU MZAWA WA GEREZANI NA KIDONGO CHEKUNDU,,,,,,MM BORN TOWN HUNIAMBII KITU..
ILA MKIKUTANA UGHAIBUNI WAMEKWAMA WANAJIFANYA KUKUJUA SANA....
SASA STROY INAAANZA HV...
KWA UFUPI LAKINI MAANA BAADAE NITAWEKA UZI NA UKILA BAN FRESH TU..
MWAKA 2009 NIPO MITAA YA MKWAJUNI,,,NIMEFULIA SINA DILI LA KUNIPA UKWASI,SO NIKAMCHEKI MWANANGU GINZE AKANIPA DILI MOJA NICHEZE NA WATOTO WA KKOO AFU WALE NI MADOGO WABANA PUA WA BONGO FLAVA.....MUCH KNOW SANA WALE MADOGO AFU WOTE WANALELEWA NA MASHANGAZI WA MJINI
WAKATAKA KUNIZUNGUKA WAO WAKIHISI MSHAMBA KISA NIMETOKEA KASULU KWENYE HARAKATI ZA MACHIMBONI KUSAKA MAWE
DILI LIKAJA MEZANI TUPIGE MAZAGAZAGA YAENDE LILONGWE....
MADOGO WABANA PUA KWA TAMAA WAKATAKA KUNIPIGA...
NA MM NIKAWAWAHI LILONGWE KWA WANYASA KULE WAKATIA AKILI...NA WENGINE KIDOGO WALIWE TIGO KWA TAMAA ZAO ZA KUJIFANYA MUCH KNOW MPAKA UGENINI.....
MWENGINE WALIMTELEKEZA KARACHI ANAANZA KULIA,,,MARA OOH BRO NISAIDIE TU NIRUDI HOME....WAKATI NILIMWAMBIA ASIENDE AKAJIFANYA MUCH KNOW......
OOOH MIMI STAR UTANIAMBIA NINI WEWE WAKUJA....
ALIPOFELI KARACHI FULL KUNIKILIA KSMA MTOTO THROUGH VIDEO CALL
STORY NI NYINGI ILA MDA MCHACHE...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
TUENDELEE NA MGANGA MIKUFU MZEE WA KUSLIDE [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bibi kama upo Canada....February mm mgeni wako...Bado yupo?
Nijuavyo huduma zake anakuja kukufanyia acupuncture nyumbani kwako.
Usinijuwejuwe sifanyi kazi ya ukuwadi mimi.Bibi kama upo Canada....February mm mgeni wako...
Najua una vibinti huko....nataka kuongeza mke wa tatu
Kkooo siku hizi kumepooza hakuna harakati...
Bibi wewe utakua umekua na mzee wangu Slay Shagy!!!!
Kule chini fire station..
Chogi sly ndiyo mzee wako?Bibi kama upo Canada....February mm mgeni wako...
Najua una vibinti huko....nataka kuongeza mke wa tatu
Kkooo siku hizi kumepooza hakuna harakati...
Bibi wewe utakua umekua na mzee wangu Slay Shagy!!!!
Kule chini fire station..
Nataka mabinti zako afu nasilimu bibiUsinijuwejuwe sifanyi kazi ya ukuwadi mimi.
Sio brother wetu Chogy slay mm nazungumzia Slay Shagy bishoo kariakoo nzima miaka ya 60,s na 70,s !!!Wewe ulikua chekechea kipindi hikoChogi sly ndiyo mzee wako?
Mbona huna adabu?
Utawala huu wa kiujanja janja anaweza akatoka..na akitoka huyo mama atamfanya kitu mbaya.My dear, kaongezewa mvua nyingine! Sio mwakani tena...
Huyo simjuwi, alikuwa anakaa mtaa gani, labda Kariakoo aliitwa jina lingine. Jina lake halisi nani, Wazee wake kina nani? Miaka hiyo nisimjuwe Kariakoo? Hapana.Sio brother wetu Chogy slay mm nazungumzia Slay Shagy bishoo kariakoo nzima miaka ya 60,s na 70,s !!!Wewe ulikua chekechea kipindi hiko
Papa kakwambia tafuta mume atakubariki.Nataka mabinti zako afu nasilimu bibi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi wa motoo weyeee, khaaaahUsinijuwejuwe sifanyi kazi ya ukuwadi mimi.
Mzee wangu Slay Shaggy,,,jina lake kamili ni Abdulkareem Al Majid,,,,,,chotara wa kiarabu na rafiki wa karibu sana wa uncle Zahir zorro!!Huyo simjuwi, alikuwa anakaa mtaa gani, labda Kariakoo aliitwa jina lingine. Jina lake halisi nani, Wazee wake kina nani? Miaka hiyo nisimjuwe Kariakoo? Hapana.
NimeshapataPapa kakwambia tafuta mume atakubariki.
😅😅😅NimeshapataView attachment 2853001
Kwahiyo mwenetu ni kidume cha mbegu hapumuliwi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NimeshapataView attachment 2853001