Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Faiza kumbe unamjua Salma upande mmoja tu, hukua unamjua vizuri,Mara ya mwisho nilikuja Tanzania akanialika kwake, alikuwa kahama Kariakoo anakaa Upanga njia ya kwenda Muhimbili, nyumba za msajili, sijui siku hizi mnaita National Housing, zilizokuwa za wahindi zamani, nyumba nzuri tu ilikuwa/ Hiyo miaka mimgi sana nyuma.
Huyo kijana watu wanamzulia tu, ni mjukuu wake mtoto wa Mariam huyo, nilikiona kilivyokuwa kidogo pale Upanga.
Haya nambie Salma yuko wapi sasa, ndiyo ana kesi au kafungwa, masikini rafiki yangu. Habari nzito hii kwangu.
Namfahamu yeye namfahamu nadhani ndugu yake yule au babake mdogo, sina uhakika, anaitwa Dr. Kesi Mtambo, alikuwa Daktari wa Nyerere enzi hizo akawa ndiye daktari pekee wa acupuncture Tanzania nzima enzi hizo, alipelekwa China kusomea., sijui bado yu hai maana alikuwa mtu mzima.
Pia namfahamu ndugu yake anaitwa Mboni, nadhani cousin wake huyu, aliokuwa Air Tanzania ilipoanzishwa tu, nadhani aliwahi kuwepo East African Aurways, namfahamu pia mdogo wake anaitwa Mhando, alikuwa mtundu mtundu sana tunamtania "kumi na moja kasoro 25a'. Miguu yake ilivyokaa, sijui yuko wapi masikini ya Mungu, Kariakoo hakuna asiyemjuwa, nikipita kariakoo akiniona hata wapi huko, lazima aje, Ahhh sister wangu leo nimekuona umetokea kama nyota ya jaa, leo watanikoma mtaani, lazima nideke sana tu.
Nipe habari za ndugu yangu Salma na Mariam mwanawe.
Siamini kama Salma ni tapeli, nafahamu kuwa ni mwanamke jasiri na mchapa kazi. Huyo itakuwa katumiwa tu na wauza magari na madalali wa nyumba kwa umaarufu wake.
Mimi nakumbuka alikuwa dalali mzuri wa nyumba za msajili tu, ilikuwa ukitaka nyumba za msajili enzi hizo, ukimuona Salma ana connections zake msajili huko, hukosi nyumba.
Mwenyezi Mungu amsaihilishie na amtowe kwenye majanga, atakuwa ni mtu mzima sana sasa.
Salma ni tapeli wa matapeli, hapo nyumbani kwake Upanga hakuna dili zilizokua hazipigwi, uhamiaji ilikua kwake (ukitaka passport unaenda kwake anatengeneza chap),
Enzi za Kikwete alikua hashikiki, polisi walikua wanaogopa kwenda kwake kumkagua, ila Magufuli ndie aliyemkomesha na kumtia ndani hadi kumfunga hiyo miaka 99,
Huyo Mariam hawezi kumjukuu Dr. Cheni kwanza Cheni anaweza kua agemate wake au Cheni kamzidi kidogo pia sidhani kama Mariam ana mtoto, ninachojua ni mashine ya kusaga na kukoboa na ana 'mke' kabisa anaishi nae japo anawabadilisha sana,
Sema sasa reporter Nifah imekuaje hujajua kama Salma alishatoka jela? japo ilikua kimya kimya watu wasijue ila alipunguziwa miaka hadi akapewa miezi kadhaa na hakuimaliza akatoka kwa msamaha.