Mwanamke jela maisha kwa kumbaka mtoto wa kiume

Ile ni tunu kabisa, alafu ati wanaipiga pini maisha, haiwezekani kukata rufaa? Ningekuwa dogo ningeishi sana na kutunza siri sanaa 😄😄 kajiandae tu kupiga punyeto sasa maana hakato pata offer kama hiyo
Wanawake Watakaogopa maisha yake yote. Hata akikua vidole vya wanawake vitaendelea kumnyooshea alimfunga mwenzao kwa kumpa utamu. Inakuwa kama gundu kwake
 
Mmh! Kuna watu mnapenda kucomplicate mambo bila sababu, kaumizwa kiakili kwa ajili gani? Kuchomeka kikojoleo chake kwenye katundu ka mtu unaumizwa kisaikolojia? Acheni mambo yenu nyie!
hahahahahaha
 
Ubakaji wa Watoto umekuwa mwingi,Watoto wanaambukizwa Ukimwi wakiwa wadogo sana.
 
Mmh! Kuna watu mnapenda kucomplicate mambo bila sababu, kaumizwa kiakili kwa ajili gani? Kuchomeka kikojoleo chake kwenye katundu ka mtu unaumizwa kisaikolojia? Acheni mambo yenu nyie!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa mujibu wa sheria kabaka ila kisayansi upo sahihi
 
Umeshaambiwa ana miaka 12 means ni under 18, bado mdogo kisheria hata kama anasimamisha

Tena huyo Dogo alianza kubakwa akiwa na miaka 9 kwasababu wamesema ni tangu miaka mitatu iliyopita alianza kubakwa na Shani.
 
Shani Suleiman ni Mwanamke wa kiislam na huwa anavaa baibui muda wote na Masjid anahudhuria sana.

Huwezi kuamini kuwa ni Mbakaji.

Astakhafirullah.....!
 
Sio jambo zuri hata kidogo kushabikia upumbavu aliofanya mshtakiwa
 
Dogo itakuwa ni mtoto wa mama,mimi;mama nilikuwa nae mbali sana wakat huo
 
Kisheria huwezi kuingia contract (oral or written) na minor. Hivyo kwa maana hiyo huyo mtoto wa 12 years anahesabika hana utashi wa kutambua jambo jema na baya kwake.

Inamaanisha pia kulikua na undue influence kwakuwa huyo mtu mzima ni rahisi kumshawishi mtoto hata kwa kumpa vihela na vizawadi vya hapa na pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…