Mwanamke Jipende Natural Achia Misitu

Kujichubua ni jambo lingine na linashika kasi kweli
 
Huyo mume ana lake.
Mimi pia sipendi makorokocho mengi hususan kwenye kusuka, nampenda my wife akiwa na nywele zake za asili, akichana akazilaza upande au kaweka rollers zikatengeneza waves yaan mimi full rubudani. Kusuka akisuka rasta nyembamba sema nna wasiwasi na wamasai[emoji16] .
Siji kumnunulia mawigi na nikikuta amenunua nalitia moto. Uzuri nguo namnunulia mimi ndefu kiasi, naye ashaelewa nazopendelea so na yeye ameshafanana nami.
 
Kwani mwanamke unavyomuona siku ya kwanza unavutiwa na nini kwake? Usiseme akili maana hata hajazungumza huwez jua akili yake ikoje
Mimi siwezi kukutaman kwa nywele au kope au kucha bandia. Mwanamke cha kwanza kutamanisha ni shape, hata kama kavaa yale sijui bulga bakiza jicho tu itaonekana. Nikiangalia mbele nkaona ujazo, nkaangalia nyuma nkaona something to touch baasi mengine yanafuata
 
Hapo kwenye mawig mnatakiwa muelewe sio kila mwanamke ana nywele za kuchana kurudi nyuma. Wengine tuna kipilipili hakifai hata kusuka minyoosho.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shenzy zake ananijaza huko basi unatamani kumwona huyo shunie

Kabisa, sema mwenyewe wiki hizi sizisomi kabisa, nahisi kama mvua inanyesha mfukoni mwangu yaani.

Ntawatafuta hizi mvua zikipungua, ngoja nifanye kazi za huku shamba kwanza.
 
Sasa mimi namuaga. Na saa ingine namwambia njoo anakuja. Ila bado anasema nikae ndani. Na natokaga Friday tu nikitoka ofisini naunga mtaani. Juzi kanirudisha home saa 4 yani basi tuu

It will be automatic switch, utajikuta mwenyewe tu umebadilika. Ila huwa haiji kwa kulazimishana.

Ni kuongea na kukubaliana tu, kawaida sana hizi kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…