[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi siwezi kukutaman kwa nywele au kope au kucha bandia. Mwanamke cha kwanza kutamanisha ni shape, hata kama kavaa yale sijui bulga bakiza jicho tu itaonekana. Nikiangalia mbele nkaona ujazo, nkaangalia nyuma nkaona something to touch baasi mengine yanafuata
Ngoja nikisaidie...My nasisitiza ushauri umeuelewa..!!!??[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
mimi zaidi, nimekuhamu sana ila tutaonana tu ile midaKaribu sana, nimekuhamu vilivyo...
Nimekuwa adimu sana huko siku hizi, kunipata ni vigumu tena kwa muda usiojulikana ila utanipata tu muda mwingine isipokuwa huo.mimi zaidi, nimekuhamu sana ila tutaonana tu ile mida
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja nikisaidie...
Carbamazaphine unaitwa huku...
Jina gumu sijui kama nimepatia [emoji4][emoji4]
Kweli mchumba.
hata mimi nina zaidi ya week mbili sijaweza, ila nashukuru kwa kunijuzaNimekuwa adimu sana huko siku hizi, kunipata ni vigumu tena kwa muda usiojulikana ila utanipata tu muda mwingine isipokuwa huo.
Shukrani piahata mimi nina zaidi ya week mbili sijaweza, ila nashukuru kwa kunijuza
Usitake nianze kusuka upyaHvo vingine alikua sahihi Ila
Hapo kwenye kukata nywele
Hapana mwanamke nywele bhana
Huo ndo ureno wa girls
Wivu tyuSio hamuhudumii hataki avae vizuri atapendwa
Ndo mana nimenyamaza[emoji23][emoji23][emoji23]. Usijemtaja ukapeperusha ndege wa watu
Stak kuamin kama umekata???Usitake nianze kusuka upya
Haha uko vizuri sasa vipi kuhusu make up,wigs zake usiwe unachoma bana,kuna siku mtu hujisikii kusuka na nywelr zimekaa ovyo unawaza utatokaje ila ukiwa na kawigi kako unakatupia tu.Wengine kufunga malemba ili kuficha ya kichwani ni wavivu kama mimi vilemba jaman.uwiHuyo mume ana lake.
Mimi pia sipendi makorokocho mengi hususan kwenye kusuka, nampenda my wife akiwa na nywele zake za asili, akichana akazilaza upande au kaweka rollers zikatengeneza waves yaan mimi full rubudani. Kusuka akisuka rasta nyembamba sema nna wasiwasi na wamasai[emoji16] .
Siji kumnunulia mawigi na nikikuta amenunua nalitia moto. Uzuri nguo namnunulia mimi ndefu kiasi, naye ashaelewa nazopendelea so na yeye ameshafanana nami.
Hahaha eti something to touch,haha bas we ni wale wa wowowooooooMimi siwezi kukutaman kwa nywele au kope au kucha bandia. Mwanamke cha kwanza kutamanisha ni shape, hata kama kavaa yale sijui bulga bakiza jicho tu itaonekana. Nikiangalia mbele nkaona ujazo, nkaangalia nyuma nkaona something to touch baasi mengine yanafuata