Mwanamke kama havai shanga siwezi kuwa na mahusiano nae, kabla ya yote nauliza kuhusu Shanga kama anazo

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Sina mengi ya kusema kichwa cha habari Kiko bayana karibu tuzungumze wengine mna mtazamo gani kuhusu wanawake hasa kuvaa shanga.

Vibe langu limekaa kwenye shanga, obviously shanga huambatana na miuno kama yote

Pang Fung Mi
 
Nowadays mambo ya cheni na shanga nayo ni kama yamevamiwa.

Haiingii akilini Hadi wadada vibonge eti nao uvaa cheni na shanga viunoni.

Unajiuliza Sasa kibonge nae anavaa shanga/cheni ili akatike kitu gani wakati kiuno chenyewe Hana🤔
 
Wewe Tena mabonge ndio shanga inaleta vibes tamu
 
Sina mengi ya kusema kichwa cha habari Kiko bayana karibu tuzungumze wengine mna mtazamo gani kuhusu wanawake hasa kuvaa shanga.

Vibe langu limekaa kwenye shanga, obviously shanga huambatana na miuno kama yote

Pang Fung Mi
muhimu zaidi ukiweka angalau iwe na resistance, sio kitu hakina kingo wala mwisho wa kina hakijulikani 🐒
 
Haaaahaaa!! Uwe unawanunuliaaa🤣🤣🤣🤣 Nyie ndio mnataka wanawake waliopendeza na hamjui nani kampa hiyo Hela ya kusuka Wala nguoo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…