Mwanamke kama huna bikra na hujaolewa wewe ni chombo cha starehe. Acha kuulizauliza eehh una mpango gani na Mimi au unataka kunichezea?

Mwanamke kama huna bikra na hujaolewa wewe ni chombo cha starehe. Acha kuulizauliza eehh una mpango gani na Mimi au unataka kunichezea?

Pole na huo ndo ukweli sogea mkaishi ndoa za kanisa ,bomani na kimila zitafata

Kwasasa pengine haipo basi kaishi
Pole 😳nimefiwa?
Hatujuani humu,Haya mahubiri ungehubiria watoto na ndugu zo mimi hayanihusu kabisa mkuu
 
Kuna binti mmoja nilikuwa namfukuzia kipindi natafuta mke na nilikuwa nimewataget mabinti watatu ila yeye nilimpa nafasi ya kwanza kwa sababu namjua vizuri.
Akanikataa baadae akaja kupata ujauzito na akazaa aliemzalisha akamtelekeza na kumuacha kabisa kwa kukana ujauzito.
Akaja kuanza shobo na mimi tena akawa ananiambia nimuoe duuh nilichokifanya nikamla alafu nikamuacha eti akaanza kunipa laana sijui hauta kuja kupata mwanamke atakayekupenda kama mimi sijui umenifanyia ukatili
Yeye amesahau alichonifanyia nyuma
Nilipomkumbusha alichonifanyia akaniblock 🤣🤣🤣
Hawa wanawake sometimes chenga sio wanawake wote lakin
Safi sana dawa ya moto ni moto
 
Kaoeni mama zenu huko ndiko mtapata full package
 
Uko sahihi sana mkuu

Ndio maana huwa nasema

Kama umemkuta sio bikira huyo ni malaya

Jiulize kabla ya zamu yako ameshapigwa miti na wanaume wangapi?

Mwanaume ndiye mwenye haki ya kuamua aamfanye huyo malaya kuwa mke

Au amfanye kuwa chombo cha starehe apige na kusepa

Mwanamke ambaye si bikira hana haki ya kusema amechezewa au amforce mwanaume amuoe, yeye akae asikilizie maamuzi ya mwanaume tu kama ni ataishia kutumika kama chombo cha starehe au Mungu saidia afanywe mke
Kama mfiraji mashuhuri unatafuta bikra kwanini asie na bikra asiolewe kwa heshima?
 
Kama mfiraji mashuhuri unatafuta bikra kwanini asie na bikra asiolewe kwa heshima?
Hivi kwa nini sisi wanaume tukitaka bikira au asiye na mtoto wanawake mnakuwa wakali

Mbona nyinyi mnataka wanaume wenye vibunda sisi hatulalamiki?
 
Kuna demu nilikuwa nae ilikuwa anagoma kunipa mzigo eti kwasababu ni bikra mpaka nimuoe nikapiga chini halafu mi namuhudumia wanawake sometimes wanazingua sana.
 
We firauni uatapata wa kufanana na wewe bikra zote mbili hukuti na litakuwa very used
Kama Mungu alimletea Adamu mke bikira

Na akamchagua Maria aliyekuwa bikira abebe mimba ya Yesu

Mimi ni nani nimpinge Muumba nichague mwanamke used?

Namuunga mkono Mungu kwa kutafuta bikira wa kufanya naye maisha
 
Kama Mungu alimletea Adamu mke bikira

Na akamchagua Maria aliyekuwa bikira abebe mimba ya Yesu

Mimi ni nani nimpinge Muumba nichague mwanamke used?

Namuunga mkono Mungu kwa kutafuta bikira wa kufanya naye maisha
Unaowatolea mifano hawakuwahi kuwa wafiraji kama wewe, sodoma na gomorrah ndipo mahali pako usijifanye hupajui
 
Back
Top Bottom