Mwanamke kama huna bikra na hujaolewa wewe ni chombo cha starehe. Acha kuulizauliza eehh una mpango gani na Mimi au unataka kunichezea?

Pole na huo ndo ukweli sogea mkaishi ndoa za kanisa ,bomani na kimila zitafata

Kwasasa pengine haipo basi kaishi
Pole 😳nimefiwa?
Hatujuani humu,Haya mahubiri ungehubiria watoto na ndugu zo mimi hayanihusu kabisa mkuu
 
Safi sana dawa ya moto ni moto
 
Kaoeni mama zenu huko ndiko mtapata full package
 
Kama mfiraji mashuhuri unatafuta bikra kwanini asie na bikra asiolewe kwa heshima?
 
Kama mfiraji mashuhuri unatafuta bikra kwanini asie na bikra asiolewe kwa heshima?
Hivi kwa nini sisi wanaume tukitaka bikira au asiye na mtoto wanawake mnakuwa wakali

Mbona nyinyi mnataka wanaume wenye vibunda sisi hatulalamiki?
 
Kuna demu nilikuwa nae ilikuwa anagoma kunipa mzigo eti kwasababu ni bikra mpaka nimuoe nikapiga chini halafu mi namuhudumia wanawake sometimes wanazingua sana.
 
We firauni uatapata wa kufanana na wewe bikra zote mbili hukuti na litakuwa very used
Kama Mungu alimletea Adamu mke bikira

Na akamchagua Maria aliyekuwa bikira abebe mimba ya Yesu

Mimi ni nani nimpinge Muumba nichague mwanamke used?

Namuunga mkono Mungu kwa kutafuta bikira wa kufanya naye maisha
 
Unaowatolea mifano hawakuwahi kuwa wafiraji kama wewe, sodoma na gomorrah ndipo mahali pako usijifanye hupajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…