matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Vitabu vya dini vinasema
"Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono take mwenyewe".
Sifa za mwanamke mpumbavu
1: Amejaa Gubu ( nagging). Yaani malalamiko kila Kona.
2: Ananajisi kitanda cha ndoa kwa kuelezea watu mambo ya kitandani mwake na mumewe.
3: Ameolewa lakini mama yake na Ndugu zake ndio ameruhusu waendeshe ndoa.
4: Analipa kisasi makosa ya mumewe kwa kuchepuka na kufanya vimambo kisirisiri.
5: Kazi zako na Majukumu yako umeyakasimisha kwa housegirl na wadada wa hapo nyumbani.
6: Baada ya kuzaa. Watoto umewageuza mumeo na baba yako. Unawajali kuliko Mume wako.
7: Unaanza kwenda kwa waganga kutafuta Dawa za kumzubaisha mumeo na kumtuliza wakati wewe ndio chanzo.
Kama unamoja kati ya hayo. Wewe ni mwanamke mpuuzi.
Kama bado hujaachika utaachika.
Kama unatarajia kuolewa utaachika tu.
Kama umeachika na bado unahizo ideas utaishia kuwa Singo mama ulijaa stress kila Kona.
Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.
Ndoa zote zilizovunjikwa huvunjwa na wanawake