Mwanamke kufukua makaburi bila sababu inatokana na nini?

Ni kutokujielewa huko mimi nikufumanie direct hafu eti nijifanye kusamehe mbona ngumu hyo, kafanyie uchafu mbali huko kah
 
Hilo kosa halisahauliki kamwe mimi nabaki tu ili watoto wakue basi tena heri kufanyia umalaya mbali na sio ndani hapo hapo hafu kirahisi huwa mnataka kusamehewa loh
Yeah kibinaadamu kosa kama hilo huwa halisahauliki, wife huwa analikumbishiaga sana tu japokua tukio lilitokea muda mrefu.

Huwa nam'bembeleza nakumpa maneno laini, yaani Nampa maneno yakumfanya ajione yeye ni Bora na wa umuhimu. Huwa natoa Hadi machozi ya kiuwongo ili kushindilia uwongo wangu uonekane ukweli ( nasemaga wanawake Wana mioyo laini, ila wanaume tuna mbinu [emoji16])

Basi mwisho wa siku atalaza kichwa kifuani kwangu nami nitaitumia vizuri chance hiyo kwa kumpa support ya kumpigapiga mgongoni huku nikimshikashika nywele zake... At the end nakula tunda [emoji23]
 
Tabia zenu ma ponjoro hizi kuwala mabeki tatu[emoji28] haifai na muache! Huyo mtumishi kaja kusaidia kazi sio kubakwa...shabash!
Haikus kubakwa mkuu, tulikubaliana baada ya kumlaghai... Si Unajua vidada vya kinyaturu vilivyo na tushepu twa kichokozi.

Alafu kamejifunga khanga kishundu kimechomoza Kam kichuguu [emoji23][emoji23]. Baharia nikapita nae
 
Huwa hatusahau ni kwamba tunaweza ishi na maumivu mda mrefu pia kutulia sio kwamba huwa mna mbinu sana ni vile huwa tunapuuzia life liendelee mbele basi na sio kwamba ni ujanja
 
Kamanda kashapigwa humo, mtoto wa kike anatambaa na chaki tu kuhalalisha jambo lake kuwa chanzo ni kisasi ila deep down anauza utu tayari
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Halafu unategemea kupunguziwa adhabu ya kaburi
 
Haikus kubakwa mkuu, tulikubaliana baada ya kumlaghai... Si Unajua vidada vya kinyaturu vilivyo na tushepu twa kichokozi.

Alafu kamejifunga khanga kishundu kimechomoza Kam kichuguu [emoji23][emoji23]. Baharia nikapita nae
Heeheheh af mke kakukuta upo namba 7 unasukuma kende maliwatoni kwa mtoto wa watu
 
Hahahaha mzee ngoja nitaandika thread yake na nitaku tag... Kituko eti nikaanza kukataa katakata kwamba sio mimi hadi nadondosha machozi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha qumermake

Wanaume hatunaga dawa.
 
Sijui kama na wanaume huwa wapo hivi.....

Wanawake tunakaaga na mambo mioyoni, japo nshasimulia kwa mashost ila sijasahau so kuna siku tu vinajirudia kichwani ndio unashangaa mwingine ananuna (hapa utasikia wanawake huwa wananuna bila sababu) la!!! Sii kwamba hatuna sababu, tunazo na hatusemi kwakua yanakua ni mambo yalopita.

Ni vile yamenipita kichwani muda huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…