kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Nisiwachoshe kwa salamu, moja kwa moja kwenye hoja. Kuolewa ni Kuolewa tu kwa mwanamke yeyote na ni Jambo Lenye heshima yake. Na kuoa ni kuoa tu kwa Mwanaume na ni Jambo Lenye heshima yake pia kwenye jamii.
Yeyote awe Mwanaume au Mwanamke Umri wa kutimiza ndoa ukifika na Jambo hilo likatimilika basi huwa ni Heshima kwa wote waliolitimiza.
Sasa, hii Lugha inayotumika sana mwanamke Kuolewa ni 'Kumstiri' .. Kisaikolojia teyari inamuweka yeye kuwa yupo ndoani kama vile kapewa Msaada kwenye tuta.
Yaani ni Fadhila tu. Yaani kama vile Kwa Wanaume kuoa Sio hitajio la muhimu.
Ndugu zangu, Sio kwa Ubaya. Labda kuwe na ufafanuzi, hii Lugha ina Ukakasi. Ipo haja ya kutumia Maneno yenye stara Zaidi ya hili ' Kumstiri mtu'.