Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Sasa wanapokubana si ndiyo hapo ungekuwa unawauliza? Wengine humu wanaume wenzio sasa watakupa jibu gani , laa utaambia twende wote tukashuhudie wanavyo kubanaga, au weka kavideo kafupi hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app