Mi kuna siku tuliitwa na rafiki yangu sehemu ,,hotel nzurii kweli ,akaniambia Dina leo naomba tule haswa na kunywaa,aisee tulivyofika tu tukaulizwa chakula gan tule kabla ya pombr,,tukaagiza kuku na samaki,,tukala,,tukaagia savanna mi nikawa nakunywa robertson,mara ninywe whisky ,,halaf whisky inaleta njaa sana,,tukaagiza msosi round ya pili,,tukahama kiwanja ,tulivyofika huko tukaagiza tena msosi wa tatu,,yule baba akasema sijawah kukutana na watoto wanakula hivi hahaha wala sie hatukumjali tukaendelea kunywa tu,,bili ilivyokuja kunchanganya na vinywaji wanavyokunywa wao vya gharama ikasoma laki 7 na nusu,,ahahahah