Mwanamke kunywa wine zaidi ya chupa moja ni uroho au kukomoana?

Je angekuwa anataka kunywa Henessy v ,,mwache bana
 
Yaani we acha tu ukiwa mnywaji ndo utaelewa hiyo raha ya wine inavyopita kooni, inakua murua kabisa!alafu mnalalamika sana jamani au mnataka tuanze kunywa mataptap hahahah
 
Je angekuwa anataka kunywa Henessy v ,,mwache bana
Price tag enyewe wangevunjika mguu maana hiyo wine chupa mbili tunayosimangiwa bei yake haizidi elfu 20,ukinunua kwenye liquor store.Woiii watuache
 
Mi kuna siku tuliitwa na rafiki yangu sehemu ,,hotel nzurii kweli ,akaniambia Dina leo naomba tule haswa na kunywaa,aisee tulivyofika tu tukaulizwa chakula gan tule kabla ya pombr,,tukaagiza kuku na samaki,,tukala,,tukaagia savanna mi nikawa nakunywa robertson,mara ninywe whisky ,,halaf whisky inaleta njaa sana,,tukaagiza msosi round ya pili,,tukahama kiwanja ,tulivyofika huko tukaagiza tena msosi wa tatu,,yule baba akasema sijawah kukutana na watoto wanakula hivi hahaha wala sie hatukumjali tukaendelea kunywa tu,,bili ilivyokuja kunchanganya na vinywaji wanavyokunywa wao vya gharama ikasoma laki 7 na nusu,,ahahahah
 
Ahhahaha mrekebishe tu kama una future nae,, hicho kinywaji kinauzwa laki na nusu sijajua kwa dar hahaha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uwo ni ufong'a sasa si kwa unywaji uwo
 
Halafu umetoka hapo ukaenda kulala kwako mbagala chumba hakina hata dirisha! Asubuhi unaanza kukumbuka ile hela uliokunywa na kula jana!πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Hahahahaha Napo unanichekesha
 
Maanina,...we unafkir madem wa skuhiz vishundu wanatoa wap,..wanakula kinyamaa
 
Mkuu starehe gharama usilalamike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…