katib mkoa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,574
- 2,161
Asee pole sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan huyu dada kwakwel hapana,na anagonga msos balaa,anapenda kuku tena ile inaitwa Changamoto,.Ukishamjulia usimpeleke viwanja vya gharama...au uwe unaziweka ndani akija anazikuta...
Yaan huyu dada kwakwel hapana,na anagonga msos balaa,anapenda kuku tena ile inaitwa Changamoto,.
Hawajielew,yaan wanapataga second chance halaf wanazichezea,ujue kutembea na singo maza ni kwamba umejitoa muhanga yaan,..singo maza lazma a behave,sasa yeye tayar ana uwalakini halaf bado anaish maisha yaleyale yaliyomfanya aachwe.daa kwanini mnawaandamaga sana single mother mkuu
Hawajielew,yaan wanapataga second chance halaf wanazichezea,ujue kutembea na singo maza ni kwamba umejitoa muhanga yaan,..singo maza lazma a behave,sasa yeye tayar ana uwalakini halaf bado anaish maisha yaleyale yaliyomfanya aachwe.
Kila siku nampa second chance haelewi..we mwache.stress ampelekee aliyemzalishahahaha ukiona hvyo ni stress msamehe !lol
khaa !@kisa cha kumnyanyasa mdada wa watu ni nn kwanza !Kila siku nampa second chance haelewi..we mwache.stress ampelekee aliyemzalisha
Asee acha,kuna kuku hyo inaitwa changamoto,wanapika roast ya kuku ya vitunguu tupu,vinakua viing,asee ni tam balaa,haina nyanya hyo,hyo vitunguu tup,bas huyu singo maza wangu,yaan anaanza kukukumbushia kwenye gar,nna ham ya changamoto,..bas nakaaga kimyaaa.sina jinsihahahahaha jaman mbavu zangu mie !dah !viwavi jeshi
Wala simnyanyasi,huyu dada ungemjua hata wew unge mind,anapenda mambo makubwa sana,..siku ya kwanza tunatongozana namuuliza sasa twende kiwanja gan weekend,ananambia yeye kazoea kwenda kempisky kwa dj peter mo,..baada ya kumgonga nkaanza mpeleka baa za tabata kule ,mara akanipeleka kwake,ni wakawaida saaana,sku1 baada ya muda mref nkamuuliza hiv we sku ile kunambia vile ulikua unantingishaa ama nin,..yaan anapenda makuu,xmass ananambia anataka aonje ile belaire,mi hata siijui inauzwaje,nkamwambia acha hayo mambo bwana,akamind,yan ananiuz balaa,ni mshamba sjuikhaa !@kisa cha kumnyanyasa mdada wa watu ni nn kwanza !
Wala simnyanyasi,huyu dada ungemjua hata wew unge mind,anapenda mambo makubwa sana,..siku ya kwanza tunatongozana namuuliza sasa twende kiwanja gan weekend,ananambia yeye kazoea kwenda kempisky kwa dj peter mo,..baada ya kumgonga nkaanza mpeleka baa za tabata kule ,mara akanipeleka kwake,ni wakawaida saaana,sku1 baada ya muda mref nkamuuliza hiv we sku ile kunambia vile ulikua unantingishaa ama nin,..yaan anapenda makuu,xmass ananambia anataka aonje ile belaire,mi hata siijui inauzwaje,nkamwambia acha hayo mambo bwana,akamind,yan ananiuz balaa,ni mshamba sjui
Mie hata alta moja simalizi etiii[emoji85] labda Namaqua nitapiga moja na nusu penginejaman nimecheka had machozi !dah !anywya @mr mtui 'lobertson' sio kitu kama unakunywa wine !ni very light aisee ! hahaha dah ngj nicheke nitarudi !
wanawake wenzangu muonage aibu jaman mnagongaje vyupa 3? hahahahah uwiiiii wapi demi ! dah bora ninywe alter wine 1 kuliko hyo unayosema 'lobertson'1 ! au bora usinywe kabisaaa !hahaha nimecheka sana jaman na the way ulivyoiandika kama namuona huyo mdada !lol
wapi NAMESHE
alter ni kali !ni bora uagize hyo km we ni mnyonyaji wa wine ! mie wine napeleka !ndo maana uangalie unatoka na nan !akuu ! mie nitaagiza kwa hela yangu mrad ninywe tu !pyee ka 15000 kanakutoa jashoooooooooo na gubu juu !lolMie hata alta moja simalizi etiii[emoji85] labda Namaqua nitapiga moja na nusu pengine
Sio ballantines,ni ile bellaire ya rickross ile anayoitangaza diamond sana,...mim wala sio mkubwa,..kanizid miaka 6,am 29,..wel nafuta kaul ya singo maza,ila kwakwel hawa wadada ni changamoto,mi ananikera anapenda makuu,..bday ya mwanae kanambia nimpeleke giraffe hotel mwanae akaswimm ,imagine,nkagoma nkamwambia kwakwel hapana siko vzur,akanambia mwanae anapapenda pale alizoea kwenda,maanina nilimind ila skusema chochote,imagine mtu wa namna hyo,hata wew angekukera,..yaan experience ya singo mazas kwangu ni hovyooo kabsa.najuta,..ila,tuu ni mzur sana na anayajua mambo,ukiona mdada unampiga mashine ana squart kwa kelele huyo sio wa kumwacha,ndo hapo tu aliponteka mie,mi napenda sana ile kituhahaha au ballantines!lol!we ni mkubwa !ni nature hyo bwana anamuonesha kihisia kuwa na yeye anapendwa bado na bado anadai! anajitahd kuziba gape la kutendwa na mzaz mwenzake !thts y anakuwa hvyo !ukimweka sawa atabadilika tu ! ila sio fresh kumwita singo maza !yaan ni km kakashfa fulan ukute na ww umefika hapo kwa nguvu ya mama alafu unaanza kumnanga !