Mwanamke kunywa wine zaidi ya chupa moja ni uroho au kukomoana?

Hawajielew,yaan wanapataga second chance halaf wanazichezea,ujue kutembea na singo maza ni kwamba umejitoa muhanga yaan,..singo maza lazma a behave,sasa yeye tayar ana uwalakini halaf bado anaish maisha yaleyale yaliyomfanya aachwe.

ptu
 
hahahahaha jaman mbavu zangu mie !dah !viwavi jeshi
Asee acha,kuna kuku hyo inaitwa changamoto,wanapika roast ya kuku ya vitunguu tupu,vinakua viing,asee ni tam balaa,haina nyanya hyo,hyo vitunguu tup,bas huyu singo maza wangu,yaan anaanza kukukumbushia kwenye gar,nna ham ya changamoto,..bas nakaaga kimyaaa.sina jinsi
 
Huku sabatoni huwa tunawatoa ushirika wanakera sana.
 
khaa !@kisa cha kumnyanyasa mdada wa watu ni nn kwanza !
Wala simnyanyasi,huyu dada ungemjua hata wew unge mind,anapenda mambo makubwa sana,..siku ya kwanza tunatongozana namuuliza sasa twende kiwanja gan weekend,ananambia yeye kazoea kwenda kempisky kwa dj peter mo,..baada ya kumgonga nkaanza mpeleka baa za tabata kule ,mara akanipeleka kwake,ni wakawaida saaana,sku1 baada ya muda mref nkamuuliza hiv we sku ile kunambia vile ulikua unantingishaa ama nin,..yaan anapenda makuu,xmass ananambia anataka aonje ile belaire,mi hata siijui inauzwaje,nkamwambia acha hayo mambo bwana,akamind,yan ananiuz balaa,ni mshamba sjui
 


hahaha au ballantines!lol!we ni mkubwa !ni nature hyo bwana anamuonesha kihisia kuwa na yeye anapendwa bado na bado anadai! anajitahd kuziba gape la kutendwa na mzaz mwenzake !thts y anakuwa hvyo !ukimweka sawa atabadilika tu ! ila sio fresh kumwita singo maza !yaan ni km kakashfa fulan ukute na ww umefika hapo kwa nguvu ya mama alafu unaanza kumnanga !
 
Mie hata alta moja simalizi etiii[emoji85] labda Namaqua nitapiga moja na nusu pengine
 
Mie hata alta moja simalizi etiii[emoji85] labda Namaqua nitapiga moja na nusu pengine
alter ni kali !ni bora uagize hyo km we ni mnyonyaji wa wine ! mie wine napeleka !ndo maana uangalie unatoka na nan !akuu ! mie nitaagiza kwa hela yangu mrad ninywe tu !pyee ka 15000 kanakutoa jashoooooooooo na gubu juu !lol
 
Sio ballantines,ni ile bellaire ya rickross ile anayoitangaza diamond sana,...mim wala sio mkubwa,..kanizid miaka 6,am 29,..wel nafuta kaul ya singo maza,ila kwakwel hawa wadada ni changamoto,mi ananikera anapenda makuu,..bday ya mwanae kanambia nimpeleke giraffe hotel mwanae akaswimm ,imagine,nkagoma nkamwambia kwakwel hapana siko vzur,akanambia mwanae anapapenda pale alizoea kwenda,maanina nilimind ila skusema chochote,imagine mtu wa namna hyo,hata wew angekukera,..yaan experience ya singo mazas kwangu ni hovyooo kabsa.najuta,..ila,tuu ni mzur sana na anayajua mambo,ukiona mdada unampiga mashine ana squart kwa kelele huyo sio wa kumwacha,ndo hapo tu aliponteka mie,mi napenda sana ile kitu
 
Mkuu nimecheka mpaka bac Kuna pia awa madaga wa mjin plus graduate wanapenda vitu vikubwa hatal wakat wao awana uwezo wa kuzipa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…