Mwanamke kuolewa ni muhimu na ni mafanikio makubwa au mtindo wa maisha mtu anaouchagua tu?

Mwanamke kuolewa ni muhimu na ni mafanikio makubwa au mtindo wa maisha mtu anaouchagua tu?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya bana we maliza mchezo na watoto wenzio mi utanikuta kituo cha mbele huku ukishakua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati mbaya sichezi na watoto.
Namsubiri mmoja atakayekuwa wa uhakika..muda wa kucheza sina,kucheza ni dhambi[emoji23][emoji23][emoji23]
Lazima nije kumtendea haki mtoto wa watu atakayejitoa kimasomaso.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati mbaya sichezi na watoto.
Namsubiri mmoja atakayekuwa wa uhakika..muda wa kucheza sina,kucheza ni dhambi[emoji23][emoji23][emoji23]
Lazima nije kumtendea haki mtoto wa watu atakayejitoa kimasomaso.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Haya bana mi nimeyachukua maneno yako positively na yako katika kumbukumbu! Ntakukumbusha siku moja huko mbeleni
 
Kwa nini mwanamke kuolewa inaonekana ni jambo muhimu, kipaumbele, heshima na mafanikio makubwa kuliko kupata PhD, kujenga nyumba yake, kumiliki biashara yake, kuwa boss wa kampuni kubwa n.k?

Mafanikio makubwa si yale ambayo mtu anayapata kupitia jitihada zake mwenyewe kuliko yale ya kupewa au kusubiria maamuzi ya mtu mwingine?

Kwa nini wanawake ambao wanaamini wanachelewa kuolewa huwa katika pressure kubwa sana ukilinganisha na wanaume?

Ndoa ni heshima ila mimi sitoolewa mpaka nimtngeneze Mama yangu
 
Na furaha ya kweli inaanza na mtu mmoja mmoja

Kuoa ni mpango wa Mungu waliowekewa wanapokea pasipo hofu wala Shaka kwa kuwa Mungu ndiye mwanzilishi wa ndoa .

Ukiwa na Raha na upendo toka ndani yako hata ndoa itareflect
Son, kupata furaha ya kweli ni lazima upate combination ya mambo mengi ktk maisha yako, ndoa yenye furaha at your age of 40yrs amongst them.
 
Ni fikra au itikadi za kiimani ambayo imeshaweka tangia enzi na enzi na inatuathiri mpaka leo.

Ndoa ni makubaliano ,kihalalisho au kithibitisho katika jamii kwamba wawili hawa wapo pamoja officially.

Ndoa ni muhimu ijengwe na msingi wa upendo,vingenevyo inakuwa pambo tu na inapoteza mantiki na ladha ya ndoa.So umri haupaswi kuwa kigezo katika ndoa ndo maana wapo wanaofunga ndoa za uzeeni.
Ndoa nyingi hazidumu kwasababu zinafungwa kwa minadhiri potofu aidha umri umekwenda au kufata mkumbo.


Ndoa sio ya kila mtu.Naweza kusema ni fani ambayo si kila mja anaimudu ndo maana ndoa nyingi hazidumu.Kuna watu walivyoumbwa ipo katika asili yao hawezi kudumu na mtu mmoja sasa hapo kutakuwa na ndoa? labda ya mitala!

Tuwe na uelewa sio watu sote wanaipa ndoa kipaumbele au wanataka ndoa.Hii inaweza kutokana na sababu tofauti mfano mtu ameexperience ndoa alofunga mwanzo haikuenda vizuri na baada ya hapo hataki kabisa kusikia habari hio.Au ameona wazazi wake au watu wanaomzunguka wanavyohenyeka katika ndoa so haoni umuhimu!

Kuna baadhi ya nchi za magharibi kutokufunga ndoa ni jambo la kawaida yaani watu wanaishi pamoja kama mke na mume miaka nenda miaka rudi lkn hamna ndoa.Kama kujijenga wanajijenga na kuzaa wanazaa ila wanaandikiana contract ili wakiachana wanagawana mali n.k
Naomba wote fuateni ushauri huu.
 
Back
Top Bottom