Mwanamke kuolewa ni muhimu na ni mafanikio makubwa au mtindo wa maisha mtu anaouchagua tu?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya bana we maliza mchezo na watoto wenzio mi utanikuta kituo cha mbele huku ukishakua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati mbaya sichezi na watoto.
Namsubiri mmoja atakayekuwa wa uhakika..muda wa kucheza sina,kucheza ni dhambi[emoji23][emoji23][emoji23]
Lazima nije kumtendea haki mtoto wa watu atakayejitoa kimasomaso.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Haya bana mi nimeyachukua maneno yako positively na yako katika kumbukumbu! Ntakukumbusha siku moja huko mbeleni
 

Ndoa ni heshima ila mimi sitoolewa mpaka nimtngeneze Mama yangu
 
Na furaha ya kweli inaanza na mtu mmoja mmoja

Kuoa ni mpango wa Mungu waliowekewa wanapokea pasipo hofu wala Shaka kwa kuwa Mungu ndiye mwanzilishi wa ndoa .

Ukiwa na Raha na upendo toka ndani yako hata ndoa itareflect
Son, kupata furaha ya kweli ni lazima upate combination ya mambo mengi ktk maisha yako, ndoa yenye furaha at your age of 40yrs amongst them.
 
Naomba wote fuateni ushauri huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…