Sie tunajua, ni huyu mleta mada tu ndio hajui usituchanganyie na sisi humo.sababu hatujui solution ya mambo, Kosa anafanya mwingine accountable anakuwa held mwingine.
Samahani Boss, natengua kauli.Sie tunajua, ni huyu mleta mada tu ndio hajui usituchanganyie na sisi humo.
UmeuaKibaolojia, mwanamke hukata moto wa kufanya wa kuchakatana na hukoma kuzaa akiwa na 45 ama chini ya hapo.
Ndiyo kusema kama mwanamke ameolewa na 32 tafsiri yake ni kwamba atakuwa consummated (atagegedwa) kwa miaka isiyozidi 12 tu. Baada ya hapo anakuwa sawa na mlinzi wa getini tu.
Sasa vipi kama huyu mwanamke (32) ameolewa na mwanaume (40)? Baada ya miaka 12 mwanaume atakuwa na 52, umri ambao yeye (me) ndiyo atakuwa kwenye peak ya kuwasha moto, lakini mwanamke amekata moto.
Na wakati huo huo huyu mwanamke anataka mumewe awe mwaminifu katika ndoa. Itakuwa ni ukatili na mateso makubwa kwa mwanaume.
Ni mwiko, hauwezi kukuta popote linaongelewa jambo hili hata siku moja.Kibaolojia, mwanamke hukata moto wa kufanya wa kuchakatana na hukoma kuzaa akiwa na 45 ama chini ya hapo.
Ndiyo kusema kama mwanamke ameolewa na 32 tafsiri yake ni kwamba atakuwa consummated (atagegedwa) kwa miaka isiyozidi 12 tu. Baada ya hapo anakuwa sawa na mlinzi wa getini tu.
Sasa vipi kama huyu mwanamke (32) ameolewa na mwanaume (40)? Baada ya miaka 12 mwanaume atakuwa na 52, umri ambao yeye (me) ndiyo atakuwa kwenye peak ya kuwasha moto, lakini mwanamke amekata moto.
Na wakati huo huo huyu mwanamke anataka mumewe awe mwaminifu katika ndoa. Itakuwa ni ukatili na mateso makubwa kwa mwanaume.
Na suala la mayai nalo siyo tatizo pia, tatizo kuu hapo lipo ambalo wewe hutaki kuliangazia.Mwanamke wa miaka 30 kwenye kushenyetwa hana tatizo.
Tatizo lipo kwenye uzazi tu. Mayai yamepungua nguvu
Baiolojia yako umeisomea wapi ndugu?Kibaolojia, mwanamke hukata moto wa kufanya wa kuchakatana na hukoma kuzaa akiwa na 45 ama chini ya hapo.
Ndiyo kusema kama mwanamke ameolewa na 32 tafsiri yake ni kwamba atakuwa consummated (atagegedwa) kwa miaka isiyozidi 12 tu. Baada ya hapo anakuwa sawa na mlinzi wa getini tu.
Sasa vipi kama huyu mwanamke (32) ameolewa na mwanaume (40)? Baada ya miaka 12 mwanaume atakuwa na 52, umri ambao yeye (me) ndiyo atakuwa kwenye peak ya kuwasha moto, lakini mwanamke amekata moto.
Na wakati huo huo huyu mwanamke anataka mumewe awe mwaminifu katika ndoa. Itakuwa ni ukatili na mateso makubwa kwa mwanaume.
Biology ya form 3C Kizimkazi Sekondari hiyo.Baiolojia yako umeisomea wapi ndugu?
Achana naye hajui kitu...na ndiyo maana tupo kimyaUko sure kweli kiongozo wanakata moto at 45?, sasa hawa MILF wanatokea wapi kiongozi au wanatumia mkongo na wao?
Ni kweli, mwanamke akifika 30+ ubora wa mayai kutungisha mimba unapungua na uko 45 moto unakua umeshuka sana hauwezi kumlinganisha na mwanaume mwenye umri huo au mwanamke wa 20'sUko sure kweli kiongozo wanakata moto at 45?, sasa hawa MILF wanatokea wapi kiongozi au wanatumia mkongo na wao?
Suala la kutongoza ni saikolojia ya kijinsia tu inamfanya mwanaume aanze kufunguka mojankwa moja lakini haimaniishi kwamba mwanamke haitaji ndoa au anafanya favor, infact wanawake nao pia wanatongoza kwa ishara wakitegemea mwanaume atajiongeza na kufunguka.Haha
Hao wanawake ndio wanaoa au wanaolewa? dhana kuolewa unaijua? Iko hivi… Mwanamke unakuwa umekaa zako mahali huna hili wala lile anatokea mtu anakuja kukwambia anataka kukuoa, Kwahiyo unataka kusema sababu nina miaka 35 nimkatae aliyekuja kutaka kunioa? Sasa mtu huyo anakuwaje hatendi haki wakati amekaa zake kaja kutongozwa?
Labda tuwaombe wanaume wajitendee haki waache kutongoza wanawake ambao wako 30+
Unajua kwanini hatuendelei hii nchi, sababu hajui solution ya mambo, Kosa anafanya mwingine accountable anakuwa held mwingine.
Wewe mumeo amekuoa ukiwa na miaka 20 na ngapi ?Kibaolojia, mwanamke hukata moto wa kufanya wa kuchakatana na hukoma kuzaa akiwa na 45 ama chini ya hapo.
Ndiyo kusema kama mwanamke ameolewa na 32 tafsiri yake ni kwamba atakuwa consummated (atagegedwa) kwa miaka isiyozidi 12 tu. Baada ya hapo anakuwa sawa na mlinzi wa getini tu.
Sasa vipi kama huyu mwanamke (32) ameolewa na mwanaume (40)? Baada ya miaka 12 mwanaume atakuwa na 52, umri ambao yeye (me) ndiyo atakuwa kwenye peak ya kuwasha moto, lakini mwanamke amekata moto.
Na wakati huo huo huyu mwanamke anataka mumewe awe mwaminifu katika ndoa. Itakuwa ni ukatili na mateso makubwa kwa mwanaume.
Kushenyetwa maana yake nini mkuu ?Mwanamke wa miaka 30 kwenye kushenyetwa hana tatizo.
Tatizo lipo kwenye uzazi tu. Mayai yamepungua nguvu
Princess,Suala la kutongoza ni saikolojia ya kijinsia tu inamfanya mwanaume aanze kufunguka mojankwa moja lakini haimaniishi kwamba mwanamke haitaji ndoa au anafanya favor, infact wanawake nao pia wanatongoza kwa ishara wakitegemea mwanaume atajiongeza na kufunguka.
Kama unaona tofauti ya umri ni mdogo sana kiasi kwamba meno pause itakukuta wakati mwenzako bado damu inachemka unaweza kutumia busara tu kumkwepa. Kwenye soka tunaita fair play.