Mwanamke kuolewa ukiwa na miaka 30+ ni kumfanyia ukatili mumeo

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Kibaolojia, mwanamke hukata moto wa kuchakatana (kugegedana) na hukoma kuzaa akiwa na 45 ama chini ya hapo.

Ndiyo kusema kama mwanamke ameolewa na 32 tafsiri yake ni kwamba atakuwa consummated (atagegedwa) kwa miaka isiyozidi 12 tu. Baada ya hapo anakuwa sawa na mlinzi wa getini tu.

Sasa vipi kama huyu mwanamke (32) ameolewa na mwanaume (40)? Baada ya miaka 12 mwanaume atakuwa na 52, umri ambao yeye (me) ndiyo atakuwa kwenye peak ya kuwasha moto, lakini mwanamke amekata moto.

Na wakati huo huo huyu mwanamke anataka mumewe awe mwaminifu katika ndoa. Itakuwa ni ukatili na mateso makubwa kwa mwanaume.
 
Haha

Hao wanawake ndio wanaoa au wanaolewa? dhana kuolewa unaijua? Iko hivi… Mwanamke unakuwa umekaa zako mahali huna hili wala lile anatokea mtu anakuja kukwambia anataka kukuoa, Kwahiyo unataka kusema sababu nina miaka 35 nimkatae aliyekuja kutaka kunioa? Sasa mtu huyo anakuwaje hatendi haki wakati amekaa zake kaja kutongozwa?

Labda tuwaombe wanaume wajitendee haki waache kutongoza wanawake ambao wako 30+

Unajua kwanini hatuendelei hii nchi, sababu hajui solution ya mambo, Kosa anafanya mwingine accountable anakuwa held mwingine.
 
Kibaolojia, mwanamke hukata moto wa kufanya wa kuchakatana na hukoma kuzaa akiwa na 45 ama chini ya hapo.

Umeua
 
Ni mwiko, hauwezi kukuta popote linaongelewa jambo hili hata siku moja.

Na cha ajabu mwanaume ukimzidi mwanamke umri wa miaka 15, tayari atakuita mbabu kwa unyanyapaa, wanapenda kuolewa na wa rika lao ama u-' Emmanuel Macron'.

Kiukweli mwanamke akifikia menopause, wengi hupendeza sana kwa haiba zao na huvutia kwa matumizi ya kitanda kama vile wanavyokuwa wakivunja ungo!

Sasa mezea mate umgusie 'yale mambo yetu' usikie majibu yake.

Ndiyo maana wanandoa smart walio wengi, utakuta wamependeza hadi watu wanawatamani kwa life style yao, kumbe siku nyingi wanakuwa washatengeneza 'kaya' mbili ndani ya nyumba moja, kila mtu asubuhi akitokea chumbani mwake na hapo mwenye hasara ni mwanaume ambaye ndiye huwa kakimbiwa.

Kumbatio la huba na utani wa kichokozi wa usiku wa wanandoa huwa automatic ushapigwa marufuku kila mtu na hamsini zake, mwanamke furaha yake hubakia ni kuwaza ma miradi na kucheza na wajukuu!

Kijana unapooa chagua kasichana dogodogo iwezekanavyo ili huduma zote 'nzuri nzuri' uendelee kuzipata hadi utakapokata moto.

U-'Emmanuel Macron' wenu mtapata tabu sana uzeeni, huchekewi wala hutabasamiwi na mtu na utatengwa na kulala peke yako bila kujali baridi lililopo na kila saa ukichungwa na simu yako kukaguliwa imeongea na mwanamke gani kulaleki.
 
Kibaolojia, mwanamke hukata moto wa kufanya wa kuchakatana na hukoma kuzaa akiwa na 45 ama chini ya hapo.

Ndiyo kusema kama mwanamke ameolewa na 32 tafsiri yake ni kwamba atakuwa consummated (atagegedwa) kwa miaka isiyozidi 12 tu. Baada ya hapo anakuwa sawa na mlinzi wa getini tu.

Sasa vipi kama huyu mwanamke (32) ameolewa na mwanaume (40)? Baada ya miaka 12 mwanaume atakuwa na 52, umri ambao yeye (me) ndiyo atakuwa kwenye peak ya kuwasha moto, lakini mwanamke amekata moto.

Na wakati huo huo huyu mwanamke anataka mumewe awe mwaminifu katika ndoa. Itakuwa ni ukatili na mateso makubwa kwa mwanaume.
Baiolojia yako umeisomea wapi ndugu?
 
Haha

Hao wanawake ndio wanaoa au wanaolewa? dhana kuolewa unaijua? Iko hivi… Mwanamke unakuwa umekaa zako mahali huna hili wala lile anatokea mtu anakuja kukwambia anataka kukuoa, Kwahiyo unataka kusema sababu nina miaka 35 nimkatae aliyekuja kutaka kunioa? Sasa mtu huyo anakuwaje hatendi haki wakati amekaa zake kaja kutongozwa?

Labda tuwaombe wanaume wajitendee haki waache kutongoza wanawake ambao wako 30+

Unajua kwanini hatuendelei hii nchi, sababu hajui solution ya mambo, Kosa anafanya mwingine accountable anakuwa held mwingine.
Suala la kutongoza ni saikolojia ya kijinsia tu inamfanya mwanaume aanze kufunguka mojankwa moja lakini haimaniishi kwamba mwanamke haitaji ndoa au anafanya favor, infact wanawake nao pia wanatongoza kwa ishara wakitegemea mwanaume atajiongeza na kufunguka.

Kama unaona tofauti ya umri ni mdogo sana kiasi kwamba meno pause itakukuta wakati mwenzako bado damu inachemka unaweza kutumia busara tu kumkwepa. Kwenye soka tunaita fair play.
 
Kibaolojia, mwanamke hukata moto wa kufanya wa kuchakatana na hukoma kuzaa akiwa na 45 ama chini ya hapo.

Ndiyo kusema kama mwanamke ameolewa na 32 tafsiri yake ni kwamba atakuwa consummated (atagegedwa) kwa miaka isiyozidi 12 tu. Baada ya hapo anakuwa sawa na mlinzi wa getini tu.

Sasa vipi kama huyu mwanamke (32) ameolewa na mwanaume (40)? Baada ya miaka 12 mwanaume atakuwa na 52, umri ambao yeye (me) ndiyo atakuwa kwenye peak ya kuwasha moto, lakini mwanamke amekata moto.

Na wakati huo huo huyu mwanamke anataka mumewe awe mwaminifu katika ndoa. Itakuwa ni ukatili na mateso makubwa kwa mwanaume.
Wewe mumeo amekuoa ukiwa na miaka 20 na ngapi ?
 
Suala la kutongoza ni saikolojia ya kijinsia tu inamfanya mwanaume aanze kufunguka mojankwa moja lakini haimaniishi kwamba mwanamke haitaji ndoa au anafanya favor, infact wanawake nao pia wanatongoza kwa ishara wakitegemea mwanaume atajiongeza na kufunguka.

Kama unaona tofauti ya umri ni mdogo sana kiasi kwamba meno pause itakukuta wakati mwenzako bado damu inachemka unaweza kutumia busara tu kumkwepa. Kwenye soka tunaita fair play.
Princess,

wewe ndio mtu pekee unayetamani tuwafukuzie wanaume kama dhahabu, hautaki kukubaliana na ukweli kuwa bado dunia inaoperate katika misingi yake ya uzamani “traditional” ijapokuwa kuna mabadiliko ya kimaendeleo kedekede.

Tunatongozwa, na tutakubali kwa wakati wetu.. kwa standard zetu… na si kila mmoja ana neema hiyo, kuna wanawake wana neema ya kutongozwa kwenye umri wote na rika lolote.

Kuna wanaume hawakuoa in their 20’30s au wanao remarry wako in their 40’s au 50’s unataka wakatongoze wanawake wa 20’s na teens? Kila mtu kwa mahitaji yake ana group analolihitaji.

Tunawakubali na wala hatutowakataa.
 
Back
Top Bottom