Mwanamke kutoa namba ya simu haraka

Mwanamke kutoa namba ya simu haraka

Angenishangaa ..nilitegemea angeniwekea vizuizi kidogo,ili kidogo nihangaike
Nenda onana naye mengine utajua huko huko. Pengine aliombewa kanisani na mchungaji siku za karibuni akapewa unabii kuwa muda wa siku tano atakutana na mtu ambaye Mungu amempangia, amkubali. Au alitokea kuvutiwa na wewe na akaona asikose hiyo fursa. Au yeye yuko direct. Au anataka kusikiliza unachotaka kumwambia. Unakuwa kama kijana wa form two bwana. Ndiyo huwa wanakuwa wanafunzi wa mapenzi.
 
Katika vitu sihangaiki navyo siku hizi ni kumnyima mtu namba hasa ambae najua tutaendelea kuonana... Ila kupokea simu au kujibu sms ndio majaaliwa
 
Watu wako nje ya muda.

Muhimu ni kuelewa tu.

Maendeleo yenu yatategemeana uwekezaji wenu sanjari na mipango endelevu
 
We jichanganye tu, kama hao wanaweza kua wepesi stage zote utaichapa sana ila kipengele kinakua kwenye kuachana wasumbufu kinoma. Utahama sana vyumba na mitaa kumkimbia.
 
Habari ndugu?...
Kuna Mwanamke Nilikutana nae Stendi ya Magari,, wakati Yuko kwenye harakati za kudandia gari..
Nilimpa hi...then nikamuomba namba ya Simu,,akaniuliza namba ya Nini huku akiwa kama anataka Simu yangu aniandikie namba,,sikumjibu nikampa Simu akandika namba yake.....

Then tukuapanda gari tayari kwa safari...
-Kesho yake nikampigia Simu nikajitambulisha akanikumbuka,,
Nikamuambia hiyo namba yangu akasema sawa..
-Baadae nikachomekea kama ninaweza kuonana nae ,akaniuliza lini??...nikimuambia vipi leo inawezekana??,,akaniuliza Muda gani??,, Nikamuuliza kwani Muda Upi utakuwa na nafasi..?,,Akanijibu MUDA WOWOTE ANAPATIKANA
.. ,
nikamuambia Sawa,,ngoja nipange ratiba zangu..

Kinachonipa Shaka ndugu zangu Mbona imekuwa haraka kwa kilA kitu ninachomwambia?
-Namba kanipa haraka
-Appointment ya kuonana ,amekubali haraka,,na anasemauda wowote ANAPATIKANA,
Wakati ni siku tu Moja tu haijaisha amenipa namba yake,,Wala hajanijua vizuri..hii Imekaaje ndugu??
Nenda Mwakitolyo kama unataka usumbufu .....
 
Usikute na yeye kakuelewa

Sema sanaa ya kupanga mihadi ndiyo huna.
 
Back
Top Bottom