Mwanamke kutoa namba ya simu haraka

Mwanamke kutoa namba ya simu haraka

Hebu weka hiyo namba hapa tukusaidie kumchunguza 😂😂
 
Habari ndugu?...
Kuna Mwanamke Nilikutana nae Stendi ya Magari,, wakati Yuko kwenye harakati za kudandia gari..
Nilimpa hi...then nikamuomba namba ya Simu,,akaniuliza namba ya Nini huku akiwa kama anataka Simu yangu aniandikie namba,,sikumjibu nikampa Simu akandika namba yake.....

Then tukuapanda gari tayari kwa safari...
-Kesho yake nikampigia Simu nikajitambulisha akanikumbuka,,
Nikamuambia hiyo namba yangu akasema sawa..
-Baadae nikachomekea kama ninaweza kuonana nae ,akaniuliza lini??...nikimuambia vipi leo inawezekana??,,akaniuliza Muda gani??,, Nikamuuliza kwani Muda Upi utakuwa na nafasi..?,,Akanijibu MUDA WOWOTE ANAPATIKANA
.. ,
nikamuambia Sawa,,ngoja nipange ratiba zangu..

Kinachonipa Shaka ndugu zangu Mbona imekuwa haraka kwa kilA kitu ninachomwambia?
-Namba kanipa haraka
-Appointment ya kuonana ,amekubali haraka,,na anasemauda wowote ANAPATIKANA,
Wakati ni siku tu Moja tu haijaisha amenipa namba yake,,Wala hajanijua vizuri..hii Imekaaje ndugu??
Ukiona hivyo amekuelewa
 
Basi achana nae huyo,
Tafuta mwingine ambaye atakuhangaisha,

Ila kuhangaishwa usifikiri kua ndio kipimo cha kumpata mwanamke mwema au aliye bora,
Wengine anaweza kukuzungusha ili tu kuongeza value yake na sio kwamba ndio ana tabia njema au anafaa zaidi.
Ni kweli mwanamke anaweza akawa yupo Single kwa muda mrefu akitafuta mtu sahii wa vigezo vyake yeye sasa siku akiona ametokea mwenye sifa anazo zitaka anakua anatoa namba na ukimwambia jambo hawezi kupinga. Ukitka kujua kama Mwanamke amekuelewa ukimwambia jambo analikubali bila kupinga kupinga. Ukituma sms anajibu kwa wakati
 
Back
Top Bottom