macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Nenda onana naye mengine utajua huko huko. Pengine aliombewa kanisani na mchungaji siku za karibuni akapewa unabii kuwa muda wa siku tano atakutana na mtu ambaye Mungu amempangia, amkubali. Au alitokea kuvutiwa na wewe na akaona asikose hiyo fursa. Au yeye yuko direct. Au anataka kusikiliza unachotaka kumwambia. Unakuwa kama kijana wa form two bwana. Ndiyo huwa wanakuwa wanafunzi wa mapenzi.Angenishangaa ..nilitegemea angeniwekea vizuizi kidogo,ili kidogo nihangaike
Angalia vzr calender yako, usikute inakuambia leo ni 2030bado mwezi mmoja tuingie December
Wanaziba masikioBro to Bro
Siku hizi kuna list tu labda kuna player kaumia wewe ni sub😅😅
Haswaa! ndio huyo huyo.Yatakushinda ujue, Yule aliniambia anipeleke kila kwa shishi? 😂😂
I refuse to be controlled by a calendarAngalia vzr calender yako, usikute inakuambia leo ni 2030
Nenda Mwakitolyo kama unataka usumbufu .....Habari ndugu?...
Kuna Mwanamke Nilikutana nae Stendi ya Magari,, wakati Yuko kwenye harakati za kudandia gari..
Nilimpa hi...then nikamuomba namba ya Simu,,akaniuliza namba ya Nini huku akiwa kama anataka Simu yangu aniandikie namba,,sikumjibu nikampa Simu akandika namba yake.....
Then tukuapanda gari tayari kwa safari...
-Kesho yake nikampigia Simu nikajitambulisha akanikumbuka,,
Nikamuambia hiyo namba yangu akasema sawa..
-Baadae nikachomekea kama ninaweza kuonana nae ,akaniuliza lini??...nikimuambia vipi leo inawezekana??,,akaniuliza Muda gani??,, Nikamuuliza kwani Muda Upi utakuwa na nafasi..?,,Akanijibu MUDA WOWOTE ANAPATIKANA
.. ,nikamuambia Sawa,,ngoja nipange ratiba zangu..
Kinachonipa Shaka ndugu zangu Mbona imekuwa haraka kwa kilA kitu ninachomwambia?
-Namba kanipa haraka
-Appointment ya kuonana ,amekubali haraka,,na anasemauda wowote ANAPATIKANA,
Wakati ni siku tu Moja tu haijaisha amenipa namba yake,,Wala hajanijua vizuri..hii Imekaaje ndugu??
Usikute na yeye kakuelewaHabari ndugu?...

Basi hapa mwenyewe alijiona kapata kumbe amepatwa yeyeSasa umekutana na muuza mbususu unataka akuzungushe akose hela?
Asipoelewa hapo ndo basi tena!Kaka huyo ni muuzaji kwo mteja umejileta mwnyewe