Mwanamke kutojua kupika inaweza kuwa sababu ya kupewa talaka?

What's up wakuu
Mko bwax?
Basi sawa(in chief engineer's voice)

Kwenu wakuu mliofanikiwa kuoa ama kuolewa ama wenye experience na hizi issues

Hivi ni muhimu kiasi hiko kwa mwanamke kufahamu namna ya kupika chakula?Leo katika stories za hapa na pale na my babes tukajikuta katika hii mada ya upishi

Kuna best yangu(kanizidi kama miaka minne hivi) aliolewa mwaka jana na ana miezi mitano tu katika ndoa yake . .nimepata ubuyu kuwa sasa hivi yupo kwao na talaka juu eti kisa tu alikuwa hajui kupika

Binafsi sijawahi kuona umuhimu wa kujua kupika

Asa wakuu hivi suala la kutojua kupika tu linaweza kufanya mtu akapewa talaka?
Naombeni kufahamishwa maana nishaanza kuogopa huku
Intelijensia yangu inafuatilia..!
 
Ndio wale unakuta ukimcheat anakuua...naye anajiua...mkose wote[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nakumbuka kipindi nipo Mboka(unyamwezini) Kuna mvaa magandwa ya mabaka-mabaka alimtwanga bastola mke wake na yeye pia kisa inasemekana alikuwa anagawa apple kwa boss wa mume wake,Sasa hata hili laweza kuwamoja wapo lililo muwewesheja Jamaa yule katika mahaba.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Ucpojua kupika mwanamke utazeekea nyumbani aisee.
Hebu tujiulize NDOA ni nn?ndoa ni kitendo cha watu wenye jinsia mbili tofauti mwanamke na mwanaume KUHALALISHA hilo JAMBO kwa SHERIA ya DINI....na unapooa unapaswa uwe UMEMPENDA MWANAMKE.na yeye AMEKUPENDA.ndy maana mnaulizwa Mara 3..na huo... ndy msingi mkubwa wa NDOA... na usioe sababu ya KUKOSA MTU wa kukupikia.au..kukufuliwa.....OA sababu unataka mwenza wa kuishi nae maishani..KUPIKA.. KUFUA hizo sio kazi za mwanamke.... MWANAMKE kazi ya YAKE ni KUMSTAREHESHA MUMEWE.na kuzaa.. kama umeoa na MKEO hata akupikie chakula cha aina gani...KAMA lile TENDO LA ndoa halijafanyika maana YAKE HAKUNA NDOA...unapooa ukilitenda TENDO LA ndoa basi pale tayari kishakuwa MKEO.ndy maana unaambiwa UOE ukiwa na UWEZO..haikumaanisha MIJIPESA AU maghorofa.. MAANA YAKE uwe na UWEZO wa KUFANYA TENDO LA NDOA..kama huna UWEZO wa kufanya TENDO LA NDOA means hufai KUOA..... mke ameolewa sababu ya kazi hiyo....hakufata TV...au KUPIKA..au KUFUA....kwani hata alipotoka kwao huko kwa wazazi wake...alikuwa anafanya shughuli hizo...na hata hiyo TV hata kwao IPO..... mwanamke haachwi kwa kushindwa kufua..au kupika..mwanamke anaachwa kwa kukunyima TENDO LA NDOA.. ndilo alilofata pale kwko.....KUPIKA...KUFUA..SIO KAZI za mwanamke....kama ingekuwa mke KAZI YAKE ni kupika na KUFUA au kusafisha nyumba basi hata wale wasiokuwa na UWEZO wa KUFANYA TENDO LA NDOA pia wangeweza KUOA... ila hawawezi kuoa sababu lile TENDO ndy linakamilisha NDOA..bila TENDO LA NDOA hakuna NDOA...
 
Wanawake wa Siku hizi majanga.

Mwanamke haoni umihimu wa kupika.....!!!

What's up wakuu
Mko bwax?
Basi sawa(in chief engineer's voice)

Kwenu wakuu mliofanikiwa kuoa ama kuolewa ama wenye experience na hizi issues

Hivi ni muhimu kiasi hiko kwa mwanamke kufahamu namna ya kupika chakula?Leo katika stories za hapa na pale na my babes tukajikuta katika hii mada ya upishi

Kuna best yangu(kanizidi kama miaka minne hivi) aliolewa mwaka jana na ana miezi mitano tu katika ndoa yake . .nimepata ubuyu kuwa sasa hivi yupo kwao na talaka juu eti kisa tu alikuwa hajui kupika

Binafsi sijawahi kuona umuhimu wa kujua kupika

Asa wakuu hivi suala la kutojua kupika tu linaweza kufanya mtu akapewa talaka?
Naombeni kufahamishwa maana nishaanza kuogopa huku
 
Mwanamke ndani ya nyumba mbali na yote basi ufanikiwe kuwa nayo haya matatu makubwa.... Ulimi unaotoa maneno matam kwa mmeo, ujue kumpikia mumeo chakula kizur kuijenga afya yake, na tatu chakula cha chumbani(kitandani) nacho ujue kukipika na kupakua vema. Nimekumegea tu ayo kwa uzoefu wangu wa miaka kadhaa ndani ya ndoa.
Na usafi nimeongezea hapo
 
What's up wakuu
Mko bwax?
Basi sawa(in chief engineer's voice)

Kwenu wakuu mliofanikiwa kuoa ama kuolewa ama wenye experience na hizi issues

Hivi ni muhimu kiasi hiko kwa mwanamke kufahamu namna ya kupika chakula?Leo katika stories za hapa na pale na my babes tukajikuta katika hii mada ya upishi

Kuna best yangu(kanizidi kama miaka minne hivi) aliolewa mwaka jana na ana miezi mitano tu katika ndoa yake . .nimepata ubuyu kuwa sasa hivi yupo kwao na talaka juu eti kisa tu alikuwa hajui kupika

Binafsi sijawahi kuona umuhimu wa kujua kupika

Asa wakuu hivi suala la kutojua kupika tu linaweza kufanya mtu akapewa talaka?
Naombeni kufahamishwa maana nishaanza kuogopa huku
IMG-20170313-WA0004.jpg
 
Swali la kizushi hajuwi kupika?
(a)chakula gan?
(b)cha kawaida ama chakula cha usiku?
cha usiku hakuna asiyejua mkuu, na kama hajui atafundishwa pia maana hakuna aliyezaliwa akijua
 
Kama akipika kuku supu iwe na radha ya mhindi wa kuchoma mie nifanyeje, nyumbani utarudi tu
 
Kwa wabongo kujua kupika ni muhimu. Wengi huwa hawapendi kula chakula cha HG na hasa ukitilia maanani baadhi ya HG walibambwa wakiweka mkojo au vitu vingine visivyostahili kuwekwa kwenye msosi.
Sijui ulipotelea wapi jamani we mkaka
 
What's up wakuu
Mko bwax?
Basi sawa(in chief engineer's voice)

Kwenu wakuu mliofanikiwa kuoa ama kuolewa ama wenye experience na hizi issues

Hivi ni muhimu kiasi hiko kwa mwanamke kufahamu namna ya kupika chakula?Leo katika stories za hapa na pale na my babes tukajikuta katika hii mada ya upishi

Kuna best yangu(kanizidi kama miaka minne hivi) aliolewa mwaka jana na ana miezi mitano tu katika ndoa yake . .nimepata ubuyu kuwa sasa hivi yupo kwao na talaka juu eti kisa tu alikuwa hajui kupika

Binafsi sijawahi kuona umuhimu wa kujua kupika

Asa wakuu hivi suala la kutojua kupika tu linaweza kufanya mtu akapewa talaka?
Naombeni kufahamishwa maana nishaanza kuogopa huku
Naunga mkono hoja Cc ephen_
 
Sasa mwanamke asiyejua kupika anaolewa ili akafanyeje? Kupika, kupika cha usiku, usafi wake na mazingira...Core areas za mwanamke na ndoa, short of that arudi kwanza kwao akafundishwe upya.
 
🤣😁
 
Hebu tujiulize NDOA ni nn?ndoa ni kitendo cha watu wenye jinsia mbili tofauti mwanamke na mwanaume KUHALALISHA hilo JAMBO kwa SHERIA ya DINI....na unapooa unapaswa uwe UMEMPENDA MWANAMKE.na yeye AMEKUPENDA.ndy maana mnaulizwa Mara 3..na huo... ndy msingi mkubwa wa NDOA... na usioe sababu ya KUKOSA MTU wa kukupikia.au..kukufuliwa.....OA sababu unataka mwenza wa kuishi nae maishani..KUPIKA.. KUFUA hizo sio kazi za mwanamke.... MWANAMKE kazi ya YAKE ni KUMSTAREHESHA MUMEWE.na kuzaa.. kama umeoa na MKEO hata akupikie chakula cha aina gani...KAMA lile TENDO LA ndoa halijafanyika maana YAKE HAKUNA NDOA...unapooa ukilitenda TENDO LA ndoa basi pale tayari kishakuwa MKEO.ndy maana unaambiwa UOE ukiwa na UWEZO..haikumaanisha MIJIPESA AU maghorofa.. MAANA YAKE uwe na UWEZO wa KUFANYA TENDO LA NDOA..kama huna UWEZO wa kufanya TENDO LA NDOA means hufai KUOA..... mke ameolewa sababu ya kazi hiyo....hakufata TV...au KUPIKA..au KUFUA....kwani hata alipotoka kwao huko kwa wazazi wake...alikuwa anafanya shughuli hizo...na hata hiyo TV hata kwao IPO..... mwanamke haachwi kwa kushindwa kufua..au kupika..mwanamke anaachwa kwa kukunyima TENDO LA NDOA.. ndilo alilofata pale kwko.....KUPIKA...KUFUA..SIO KAZI za mwanamke....kama ingekuwa mke KAZI YAKE ni kupika na KUFUA au kusafisha nyumba basi hata wale wasiokuwa na UWEZO wa KUFANYA TENDO LA NDOA pia wangeweza KUOA... ila hawawezi kuoa sababu lile TENDO ndy linakamilisha NDOA..bila TENDO LA NDOA hakuna NDOA...
Tafsiri mpya ya ndoa hii.
 
Back
Top Bottom