Mwanamke kutojua kupika inaweza kuwa sababu ya kupewa talaka?

Mwanamke kutojua kupika inaweza kuwa sababu ya kupewa talaka?

What's up wakuu
Mko bwax?
Basi sawa(in chief engineer's voice)

Kwenu wakuu mliofanikiwa kuoa ama kuolewa ama wenye experience na hizi issues

Hivi ni muhimu kiasi hiko kwa mwanamke kufahamu namna ya kupika chakula?Leo katika stories za hapa na pale na my babes tukajikuta katika hii mada ya upishi

Kuna best yangu(kanizidi kama miaka minne hivi) aliolewa mwaka jana na ana miezi mitano tu katika ndoa yake . .nimepata ubuyu kuwa sasa hivi yupo kwao na talaka juu eti kisa tu alikuwa hajui kupika

Binafsi sijawahi kuona umuhimu wa kujua kupika

Asa wakuu hivi suala la kutojua kupika tu linaweza kufanya mtu akapewa talaka?
Naombeni kufahamishwa maana nishaanza kuogopa huku

nilichojua kuppika mpaka sasa ni ndizi nyama na ugali na mboga za majani,rojo na ndizi za kukaanga ,,pilau inanipa shida kidogo polepole nitajua kupika
 
nilichojua kuppika mpaka sasa ni ndizi nyama na ugali na mboga za majani,rojo na ndizi za kukaanga ,,pilau inanipa shida kidogo polepole nitajua kupika
Mi vitu vichache sana ndio sijui kama michuzi ya nyama nikipika nyama inakuwa kama imeoshwa ,inakuwa mbayaaaa
Ila roast ya nyama najua

Michuzi ya samaki nayo inakuwa mbaya labda hadi nipikie na nazi
 
Mi vitu vichache sana ndio sijui kama michuzi ya nyama nikipika nyama inakuwa kama imeoshwa ,inakuwa mbayaaaa
Ila roast ya nyama najua

Michuzi ya samaki nayo inakuwa mbaya labda hadi nipikie na nazi

samaki sili mpendwa tangu nizaliwe nazisikia kwa watu tu....hata kwenye familia yenu sijawah kuziona zikiletwa au kupikwa ..niliwahi kuhoji nikaambiwa mchaga ni nyama samaki waachie watu wa kanda ya ziwa...hawapendi kabisa...yaani
 
Hii ni Africa dada! Jukumu la mke ukiacha na kutoa unyumba inabidi ajue kumtunza mume... Aweze kumpikia, kumfulia na ata kumfanyia usafi etc. Na mwanamke hadi unafika uri wa kuolewa hujui kupika ni picha mbaya, inaonesha ulivyo mzembe. Yaani ata kama mimi mwanaume, nakurudisha kwenu aisee!!!
Umenena dada.
 
nilichojua kuppika mpaka sasa ni ndizi nyama na ugali na mboga za majani,rojo na ndizi za kukaanga ,,pilau inanipa shida kidogo polepole nitajua kupika
Njoo inbox nikifundishe pilau!!! Facebook imepitwa na wakati ila ina magroup mazuti na ya kuelimisha! Kuna group pia facebook kama unahitaji, kuna mapishi kibao tena ata ukiuliza ufundishwe chakula fulani unajibiwa fasta.
 
Sasa kama hujui kupika kwa mume umeenda kutembea au??? Embu acha masihara wewe, hujui kupika we ondoka tuu wala usisubiri kutimuliwa
 
Hao ndio wale utakuta hata chai hajui kupika [emoji23] [emoji23][emoji15] [emoji15]......Ndio maana ndoa za siku hizi hazidumu...Kupika nako ni shida tena kwa mwanamke??
Wapo wengi tu mbn kwa kizazi hichi cha ss
 
What's up wakuu
Mko bwax?
Basi sawa(in chief engineer's voice)

Kwenu wakuu mliofanikiwa kuoa ama kuolewa ama wenye experience na hizi issues

Hivi ni muhimu kiasi hiko kwa mwanamke kufahamu namna ya kupika chakula?Leo katika stories za hapa na pale na my babes tukajikuta katika hii mada ya upishi

Kuna best yangu(kanizidi kama miaka minne hivi) aliolewa mwaka jana na ana miezi mitano tu katika ndoa yake . .nimepata ubuyu kuwa sasa hivi yupo kwao na talaka juu eti kisa tu alikuwa hajui kupika

Binafsi sijawahi kuona umuhimu wa kujua kupika

Asa wakuu hivi suala la kutojua kupika tu linaweza kufanya mtu akapewa talaka?
Naombeni kufahamishwa maana nishaanza kuogopa huku
Ukipata Muda au Ukiwafree Mtafute kungwi atakueleza vyema vitu vitatu muhimu kwa Mwanamke,
1.Mapishi

Kitu cha kwanza ni mapishi, mwanamke ajue kupika vyema huku Usafi katika upishi ukichukua nasifu ya Juu.
 
Nina binamu yangu aliolewa mwaka 2008,alikua hajui kufua wala kupika. Alidumu kwenye ndoa yake kwa week 5 tu. Week 4 honeymoon,week moja nyumbani,hapa ndio alitimuliwa mpaka leo hii.
Hajaolewa hadi sasa? Kwa sasa kajifunza kupika?
 
Najua kupika ila nitaongeza maujuzi
Jukwaa la chef linanihusu sana sasa[emoji28]
Kujua kupika ni ku- practice zaid kuliko kusoma au kuangalia. Ukiwa unashirki jiko kila wakat utakua Mpishi nzur.
 
Joanah anza kujifunza kupika kidogo kidogo utaweza tu wanaume wenyewe hawa
 
Eti???....huoni umuhimu wa kujua kupika...sound stupid...huyo anayekupa chakula asingejua kupika ungekula??
Mwanamke jiko....watoto wako utawalisha nn...ma housegal hawako milele
 
Hii ni Africa dada! Jukumu la mke ukiacha na kutoa unyumba inabidi ajue kumtunza mume... Aweze kumpikia, kumfulia na ata kumfanyia usafi etc. Na mwanamke hadi unafika umri wa kuolewa hujui kupika ni picha mbaya, inaonesha ulivyo mzembe. Yaani ata kama mimi mwanaume, nakurudisha kwenu aisee!!!
Aibu tupu..sasa usipojua kupika unajua nini...kitandani tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji32][emoji32][emoji32]
 
nilichojua kuppika mpaka sasa ni ndizi nyama na ugali na mboga za majani,rojo na ndizi za kukaanga ,,pilau inanipa shida kidogo polepole nitajua kupika
Aisee Mama angu na mtori je hujui kutengeneza? Salaleee
 
Kwani naoa ili MKE awe mpishi?
Kazi kubwa ya mke ni kunipa watoto!
Kama papuchi yake labda ni kubwa so sipati friction hapo kwa kweli ataachika lkn sio sababu ya mapishi
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom