Mwanamke kutojua kupika inaweza kuwa sababu ya kupewa talaka?

Mwanamke kutojua kupika inaweza kuwa sababu ya kupewa talaka?

Kwanza mm mke ambaye anapika pika kila siku tutakosana tu!Pika weekends mme nikiwa home siendi kazini!
Monday to Friday nitakula mchana kazini,jioni nile very light meal kama cereals and milk
Mm mke asiwe mvivu kugegedana tu sio kupika
Jamani jamani
Wametuzaa lakini
 
Usijue kupika chakula cha chumbani,hutomaliza miezi miwili utakuwa ushachukua red card yako mapema, au kale ka tabia kenu nimechoka nimechoka unafikisha wiki mbili, jua hiyo post yako soon itakuwa vacant
 
mwanaume yoyote ujihisi vizuri na upenda kula chakula kile kilichopikwa kwa mikono ya mke wake mwenyewe, hii ni njia moja wapo ya kuonesha Upendo kwa mumeo kama ulikuwa ujui kupika basi nenda kajifunze.

siri na utamu WA chakula akipikacho mke aujuye ni mume.
 
Eti???....huoni umuhimu wa kujua kupika...sound stupid...huyo anayekupa chakula asingejua kupika ungekula??
Mwanamke jiko....watoto wako utawalisha nn...ma housegal hawako milele
Sawa-sawa
Mwanamke mapishi bwana makalio/sura yanafaata baadaye .
 
hajui kupika!!!!!!!??????
Unashangaa au

Mbona wapo wengi tena hasa kizazi hiki ni wengi mno,chakula kipo kipo hakina radha bahati nzuri mwanaume uwe unajua kupika chakula hapo ndiposa taabu inaanza.
 
Sawa-sawa
Mwanamke mapishi bwana makalio/sura yanafaata baadaye .
Unaweza kuta mwingine tako na sura anayo ..plus kupika chakula kitamu ....
Utamu unazidi hapo.....
 
Hata kabla sijaoa nilikuwa najisemea moyoni siwezi kuoa mwanamke asiyejua kupika, namshukuru Mungu mke wangu anapika
 
Kupika is the big issue my sister usiogope ila kama hujui jifunze tu ili usije ukachemsha kwa shem
 
Unaweza kuta mwingine tako na sura anayo ..plus kupika chakula kitamu ....
Utamu unazidi hapo.....
Sasa hapo ni hatari,Mme lazima achanganyikiwe na atakaye mgusa anaye Uso kwa Uso.
 
Hapana inategemea na mwanaume kama mfume Duke utakula wachuya kurudi kwenu kujifunza kwanza
 
Kwa pwani huku kujua kupika ni muhimu maana linawekwa kama sehemu yq mahaba mfano tanga,Moro,DSM,Lindi na mikoa mwingine ya mwambao kama mwanamke hajui hilo Haina mana,siku atapewa Nazi ata itaitumbukiza ilivyo akijua ndio ana unga mboga
 
Khe kheeeeeee nani anataka kula chakula ya HG!? On point!

Hii ni Africa dada! Jukumu la mke ukiacha na kutoa unyumba inabidi ajue kumtunza mume... Aweze kumpikia, kumfulia na ata kumfanyia usafi etc. Na mwanamke hadi unafika umri wa kuolewa hujui kupika ni picha mbaya, inaonesha ulivyo mzembe. Yaani ata kama mimi mwanaume, nakurudisha kwenu aisee!!!
 
What's up wakuu
Mko bwax?
Basi sawa(in chief engineer's voice)

Kwenu wakuu mliofanikiwa kuoa ama kuolewa ama wenye experience na hizi issues

Hivi ni muhimu kiasi hiko kwa mwanamke kufahamu namna ya kupika chakula?Leo katika stories za hapa na pale na my babes tukajikuta katika hii mada ya upishi

Kuna best yangu(kanizidi kama miaka minne hivi) aliolewa mwaka jana na ana miezi mitano tu katika ndoa yake . .nimepata ubuyu kuwa sasa hivi yupo kwao na talaka juu eti kisa tu alikuwa hajui kupika

Binafsi sijawahi kuona umuhimu wa kujua kupika

Asa wakuu hivi suala la kutojua kupika tu linaweza kufanya mtu akapewa talaka?
Naombeni kufahamishwa maana nishaanza kuogopa huku
atakua mkikuyu uyo best ako😀😀😀
 
Sasa hapo ni hatari,Mme lazima achanganyikiwe na atakaye mgusa anaye Uso kwa Uso.
Ndio wale unakuta ukimcheat anakuua...naye anajiua...mkose wote[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom