Mwanamke kutojua kupika inaweza kuwa sababu ya kupewa talaka?

Mwanamke kutojua kupika inaweza kuwa sababu ya kupewa talaka?

What's up wakuu
Mko bwax?
Basi sawa(in chief engineer's voice)

Kwenu wakuu mliofanikiwa kuoa ama kuolewa ama wenye experience na hizi issues

Hivi ni muhimu kiasi hiko kwa mwanamke kufahamu namna ya kupika chakula?Leo katika stories za hapa na pale na my babes tukajikuta katika hii mada ya upishi

Kuna best yangu(kanizidi kama miaka minne hivi) aliolewa mwaka jana na ana miezi mitano tu katika ndoa yake . .nimepata ubuyu kuwa sasa hivi yupo kwao na talaka juu eti kisa tu alikuwa hajui kupika

Binafsi sijawahi kuona umuhimu wa kujua kupika

Asa wakuu hivi suala la kutojua kupika tu linaweza kufanya mtu akapewa talaka?
Naombeni kufahamishwa maana nishaanza kuogopa huku
Eti hujawah kuona umuhimu wa kupika,nyie ndo mtakuja kusumbua ktk ndoa zenu.By the way km mke hajui kupika nadhani njia nzuri ni kumfundisha.
Sasa huyo aliyepewa talaka labda jamaa alijaribu kumfundisha afu akawa mtata au unakuta na jamaa mwenyewe hajui kupika,na kuna baadhi ya jamii kwao talaka ni kufumba na kufumbua
 
Sio kisingizio!!! Wengine tumesoma boarding kuanzia primary hadi chuo na bado tulipata mda wa kujifunza kupika! Mzazi wake nae alimuendekeza... Yaani mie mama ilikua nikirudi likizo nanyoosha miguu siku ya kwanza tu, siku inayofuata nakabidhiwa jiko... Awepo mdada msaidizi au asiwepo kazi kwenda mbele.
Wewe ndo nakuhitaji ushaolewa mkuu?
 
Wapo my dear, tena wengi tu. Mm niliwah kuishi na mke mwenzangu hajui chochote c kupika wala kudeki yaaan hajui hata kukaanga mayai.
Lakini alikua mrembo c mchezo
 
Njoo tuishi pamoja tutakuwa tunakula hotelini watoto wakizaliwa tutakuwa tunawapa bum kila mwezi hakuna kupika
 
nilisikia kuna dada alipewa talaka baada ya miezi 4 ya ndoa, mume ana complain kila siku wanakula out, hajawahi kusikia hata harufu ya kitunguu kinakaangwa ndani! loool! wife ana suggest wakale out lunch, dinner yaani hajawahi kushika mwiko ndani wakati kitchen party alipewa zawadi mob kila kifaa unachofikiria cha jikoni alipewa. chaguo ni lako
 
Wapo sana, nawaonaga mim. Mdada mrembo akitoka umo ndani alivotupia mbona had raha.... Sasa aje akupikie wali tu na nyama, lol aibu, ubwabwa umekumbatiana hatari, uo mchuzi mwekunduuuuuu. Khaa jamani!!!!

Kupika ni skill. Kama yuko willing kujifunza hii skill sidhani kama ni tatizo.

Siyo wanawake tuu; wanaume pia muhimu kuwa na hii skill kwa manufaa ya familia zao.
 
Binafsi mwanamke wa kiafrika hujui kupika wala usafi, hata usiongee na mimi. All men in my family can cook(and we had house helpers too, at times more than 2), what's your excuse??
 
What's up wakuu
Mko bwax?
Basi sawa(in chief engineer's voice)

Kwenu wakuu mliofanikiwa kuoa ama kuolewa ama wenye experience na hizi issues

Hivi ni muhimu kiasi hiko kwa mwanamke kufahamu namna ya kupika chakula?Leo katika stories za hapa na pale na my babes tukajikuta katika hii mada ya upishi

Kuna best yangu(kanizidi kama miaka minne hivi) aliolewa mwaka jana na ana miezi mitano tu katika ndoa yake . .nimepata ubuyu kuwa sasa hivi yupo kwao na talaka juu eti kisa tu alikuwa hajui kupika

Binafsi sijawahi kuona umuhimu wa kujua kupika

Asa wakuu hivi suala la kutojua kupika tu linaweza kufanya mtu akapewa talaka?
Naombeni kufahamishwa maana nishaanza kuogopa huku
Unataka tule restaurant daily....usipojua kupika sikuambii kama ntakuoa talaka au kuna umuhimu...ila usipojua mi ntakuwa napitia kwa anayejua kupika nil ndio nije nilale kwangu... Na siwezi kaa tu nusu saa.. Lazima ki digest ndio nrudi
 
Cha usiku kitamu
Muhimu kujua

Alafu sio kama sijui kupika chakula kabisa ila nahisi sipo qualified enough
Bas hapo umefunguka.....we unajua ila unaogopa...fanyia kazi tu kupika ni nguzo ikiwemo unyumba....mi kama mume siwezi ona hujui nkakaa
 
What's up wakuu
Mko bwax?
Basi sawa(in chief engineer's voice)

Kwenu wakuu mliofanikiwa kuoa ama kuolewa ama wenye experience na hizi issues

Hivi ni muhimu kiasi hiko kwa mwanamke kufahamu namna ya kupika chakula?Leo katika stories za hapa na pale na my babes tukajikuta katika hii mada ya upishi

Kuna best yangu(kanizidi kama miaka minne hivi) aliolewa mwaka jana na ana miezi mitano tu katika ndoa yake . .nimepata ubuyu kuwa sasa hivi yupo kwao na talaka juu eti kisa tu alikuwa hajui kupika

Binafsi sijawahi kuona umuhimu wa kujua kupika

Asa wakuu hivi suala la kutojua kupika tu linaweza kufanya mtu akapewa talaka?
Naombeni kufahamishwa maana nishaanza kuogopa huku
Ndiyo. Madikodiko na mahanjumati ni muhimu ndani ya nyumba.
 
Mme atapata wapi nguvu za kutunza familia na kuijenga? We we we we kupika asipojua arudi kwao akajifunze
 
Binafsi mwanamke wa kiafrika hujui kupika wala usafi, hata usiongee na mimi. All men in my family can cook(and we had house helpers too, at times more than 2), what's your excuse??
I've got no excuse kwasababu mi najua kupika
Katika usafi ndio usipime,am the best!

Alafu cooper mbona story hapo inamuhusu best yangu ,mi nilitaka tu kufahamu kama kutojua kupika kunaweza kumfanya mtu akapewa talaka kabisa kabisa
 
Good for you. Hapo nimewauliza wasiojua kupika kama rafiki yako.
 
Kwani naoa ili MKE awe mpishi?
Kazi kubwa ya mke ni kunipa watoto!
Kama papuchi yake labda ni kubwa so sipati friction hapo kwa kweli ataachika lkn sio sababu ya mapishi
 
Kwani naoa ili MKE awe mpishi?
Kazi kubwa ya mke ni kunipa watoto!
Kama papuchi yake labda ni kubwa so sipati friction hapo kwa kweli ataachika lkn sio sababu ya mapishi
Hahahah
Mkuu upo tofauti na wenzio wengi
 
Hahahah
Mkuu upo tofauti na wenzio wengi

Kwanza mm mke ambaye anapika pika kila siku tutakosana tu!Pika weekends mme nikiwa home siendi kazini!
Monday to Friday nitakula mchana kazini,jioni nile very light meal kama cereals and milk
Mm mke asiwe mvivu kugegedana tu sio kupika
 
Back
Top Bottom