binti wa kirombo
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 847
- 960
What's up wakuu
Mko bwax?
Basi sawa(in chief engineer's voice)
Kwenu wakuu mliofanikiwa kuoa ama kuolewa ama wenye experience na hizi issues
Hivi ni muhimu kiasi hiko kwa mwanamke kufahamu namna ya kupika chakula?Leo katika stories za hapa na pale na my babes tukajikuta katika hii mada ya upishi
Kuna best yangu(kanizidi kama miaka minne hivi) aliolewa mwaka jana na ana miezi mitano tu katika ndoa yake . .nimepata ubuyu kuwa sasa hivi yupo kwao na talaka juu eti kisa tu alikuwa hajui kupika
Binafsi sijawahi kuona umuhimu wa kujua kupika
Asa wakuu hivi suala la kutojua kupika tu linaweza kufanya mtu akapewa talaka?
Naombeni kufahamishwa maana nishaanza kuogopa huku
nilichojua kuppika mpaka sasa ni ndizi nyama na ugali na mboga za majani,rojo na ndizi za kukaanga ,,pilau inanipa shida kidogo polepole nitajua kupika