Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

Mwanajamii, hiyo ni tatizo lakini ukiangalia kwa undani sio tatizo, tafiti zimeonyesha kwamba, mtu uliyekuwa una dream ndio atakuwa mume wako wa aina hiyo au mkeo, sio huyo unayeishia kuwa naye, unajikuta mikononi mwa mtu tofauti halafu ndio unampenda kufa
 



Asakute mie mzima wa afya.... na nafurahi kukuona baada ya mda mrefu....

Nimekupata na nimependa maelezo yako.... Ila tu naomba nikuarifu kua kuna watu wamekutana na kutongozana mitandaoni na later wakajuana vema na kuweza kua wapenzi na hata wengine kuoana... What do you say about hawa?
 
Unaweza kulalamika hautongozwi kumbe unamkufuru Mungu.Mwishowe unapata balaa la kutongozwa na waume za watu sijui utasema umelogwa?????.
Lakn nijuavyo mimi kuna age ya kutongozwa kwa sana regardless material things kama elimu,pesa,uzuri,ubaya n.k.Hapo ndio wanawake huwa wanaharibu maisha yao au kuyajenga(it all depends).Kipindi hicho huwa ni lazima kipite na kije cha ukame.Hii Mitongozo ya hapa huwa inakuwa nadra au mingi kutegemea circumstances kama mazingira,elimu n.k.

NB:Nadhani huwa inafika kipindi hata wanaume huwa wanachoka kutongoza kutokana na umri.Kuna watu wanaweza kukataa lakn age ina nafasi kubwa kwa sisi wanadamu katika swala la kuwa active au kupunguza.
 

Utamsindikiza vipi mdada yupo ndani ya Range Rover!!??.....
Kwangu mimi binafsi hakuna mwanamke ambaye ni mjuba, tatizo kubwa la wanawake wengi wana mazingira yao ya kuweza kuwa nao karibu then swaga zingine huwa zinajirekebisha automatical, ndio maana unaweza kukaa kwenye vijiwe vyetu wanaume akapita mdada very cute, basi unaweza kumsikia mshikaji anasema huyu demu ni mzuri sana ila jamaa yake ni mshamba fulani tu au falla fulani!........sizitaki mbichi hizi.

Tukumbuke mwanamke yeyote wa kimjini huwezi kuktana naye barabarani eti dada naomba nikusindikize! ni lazima kuwe na mazingira fulani yanayokuweka karibu na Mdada husika then hapa hata akiwa ni mtoto wa Obama ni lazima kieleweke.
 
Blackberry, AshaDii na MJ1.... nyie acheni tu, kutongozwa mnataka, midomo mvute nyie, undenda mdomoni ujae humohumo wakati wa kutongozwa haya

Leo nipo kipovu zaidi ngoja nirudi kulee, naskia kutakua na mabomu ya machozi kwenye thread mojawapo!!!

Nawaacha na hiyo ya enzi zanngu domo zege! hii niliibamba kwa kukopi barua ya bro alimuandikia demu wake enzi hizo
View attachment 49715
 

MTM si swaga za sitaki nataka hizooo
 


Hapana my ADI,

Marriage fever ikishaingia watu wanatongoza tongoza hovyo kujabu bahati zao..Wanafikia mahali pa kuamini kuwa mwenda bure si mkaa bure,

Babu DC!!
 
Alafu sijaelewa wapi most mumechukulia kua ni raha.....lol.... Jamani inaweza kua raha ama karaha! Hivi umewahi tongozwa na mwanaume king'ang'anizi?? Utalia, utabadilisha njia na kama ana number yako utatupa na kutumia nyingine! lol


Nimesemea kwa wale wanaolalamikia matongozo...........sasa wanalilia nini???
 


Really,

I would love to know something as sweet as this from Bibi DC...Bahati mbaya sie tulitafutiwa na wazazi!!

Kwa nini usimgawie kidogo FL1 ampelekee huyo dada anayeteseka kwa kukosa raha ya kuitwa my sweetie na dume???

Babu DC
 
Unaona sasa, watu wote washanijua jina langu ni Natasha, na nilikuwa la 4 mwaka 1994.
Siri zote hadharani.

Nakuharibia kwenye kimbwa unachouza.

Nilitunza kopi justi in kesi posta wangepoteza origino.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…