Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

ha ha ha ha ha ha! za mtandaoni siyo zangu bana, am not kind of a person who take chances kwenye vitu km hivi:A S-confused1:.(Reason;as i hv mentioned previously + s'tym a person may not fit my values).........
Ila hao ambao hawatongozwi na naamini wapo lonely (Reason;coz even a thug gets lonely ati),,,,still dont know how to get man of there desire they need a big help......(my take; s'tym we men play and dance tones za women ,unaona umetafuta kumbe umenasishwa.....it happened wakati mwingine na magwiji wanajua....akili kumkichwa):confused2:

I think it is more out of knowing ones self.... HAKUNA mtu ambae ni mbaya moja kwa moja OR un interesting moja kwa moja..... Ukijijua it is a Great thing.... Kama mazingira yako ni yale ambayo hayawezi entertain utongozwaji and you like it that way then it is OK.

A lady akijitambua it is good.... then atatambua tatizo lipo wapi.... Akijua kua hatongozwi for she looks too expensive... inabidi ajitahidi kujiweka katika hali ambayo itamuonesha mtu wa kawaida... degrade the type of car aendesha (Instead of my dream car Range Rover... waishia zako kwenye Vitz); Akijijua kua yeye ni mbaya.... then atafute kitu ambacho ni kizuri katika mwili wake, iwe boobs, iwe butt, iwe nywele, iwe miguu or whatever na make them seen as part of the beauty... sina maana akae uchi or nusu uchi... no! the type of clothe you choose pia hapa matters.....
 
It takes a true man kujua hilo... BUT It takes a true and understanding Woman kuelewea kua kumiliki kwake gari sio kigezo kua ataemtongoza nae awe anamiliki. Kumbuka kua bahati mbaya saana idadi kubwa na wanawake ambao wamebahatika kua na usafiri kua na ka attitude ka kujenga dharau towards a man on foot. Ki halisia kama mwanamke ana gari na mwanaume hana na wote ni werevu it is so simple to cope!

Hata hivo back to the issue at hand... Matola yahitaji nguvu fulani ya ziada... Kusema kweli chukulia wamtongoza mwanamke mwenye usafiri na wewe huna it tends to discourage a bit... else uwe na plans na una uwezo kabisa wa kuweza miliki gari but kwa sababu za msingi zozote zile huna gari kwa wakati huo.

Naamini kwa dhati kabisa kua one having usafiri ina toa mwanga ya walau level ya uwezo wako.... na Matola... I believe you and I kno kua mahusiano ambayo mwanamke kifedha yupo juu ya mwanaume huleta shida in the long run. Ladbda kama wapo for fun and sex tu!

ADI,

Kwa mwanamume wa enzi yetu...mwanamke akishakuzidi kitu basi hilo lilitosha kukudiscoqualify...Unaanzia wapi kwenda na T011 (foot) kumtongoza dada yuko kwenye usaifiri wake? Most likely kapiga sunglass za nguvu??

Au unatokaje kwenye ka-room ka kupanga uswahilini (choo hadi ubebe kopo), unaenda kumtongoza dada mwenye nyumba yake...!!

Viti vingine tulifundishwa kukubali kuwa vinetupita kando na kutafuta size zetu....

Binafsi nisingeweza kabisa...labda kama nimeanzia kwa mganga wa kienyeji!!

Babu DC!!
 
Alter toka thread imeanza wangapi wamekutongoza hasa kwa pm? lol... Usije kua wewe ndio DC kapania! hahahaha..... (I kid)

Weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!

Unataka aje kusema hapa nikimbilie kubadili ID!!!

Kunguru mwoga mie,....siweza kucheza kwenye anga za Boss!!

Babu DC!!
 
tuache utani, hakuna raha kama kutongoza halafu mwanamke anasmile huku anaona aibu.... kukataa hawezi, kukubali hawezi!!! its a beautiful scene aisee:doh:

Yani ingekua raha unatongoza tu, halafu unaishia kuona ile blushing, tatizo vikikubali ulafi unaanza!!! :wacko:

kigumu tu ni lugha ya kutongozea, kwani haiko yunifomu!!:lie:

Pal I believe upo katika majority ya wanaume ambao wanapenda level fulani ya shyness katika mwanamke..... lol (Source: maelezo kwenye quoted post); Hapa naona ndio pale ambapo mwanamke kama mwanamke inatakiwa ajue kua as much as mmzezoeana... daima level ya aibu haitakiwi ipungue kwa mpenzi wako..... For moja ya furaha in a man naamini ni yeye kujua kua he has a unique and special effect on you (hivo the blush); (Na nahisi waipenda for kama sikosei blushing of a lady can even cause hard on's on some of kaka zetu) Of course you will correct me if I am wrong.... lol
 
Inferiority complex,........mbona hawana noma kabisa! akikuvalia miwani ya juwa wewe mvalie ya kuogelea, nadhani kuna wakati tunawajaji vibaya, ingawa sikatai wako malimbukeni miongoni mwao.

Call it whatever!!

Mwonekano wa binti una umuhimu mkubwa sana kwa mtu anayetafuta partner...Hakuna askari mwenye busara anayependaa kupoteza risasi zake kwa kushoot hovyo hovyo hewani!!

Babu DC
 
ADI,

Kwa mwanamume wa enzi yetu...mwanamke akishakuzidi kitu basi hilo lilitosha kukudiscoqualify...Unaanzia wapi kwenda na T011 (foot) kumtongoza dada yuko kwenye usaifiri wake? Most likely kapiga sunglass za nguvu??

Au unatokaje kwenye ka-room ka kupanga uswahilini (choo hadi ubebe kopo), unaenda kumtongoza dada mwenye nyumba yake...!!

Viti vingine tulifundishwa kukubali kuwa vinetupita kando na kutafuta size zetu....

Binafsi nisingeweza kabisa...labda kama nimeanzia kwa mganga wa kienyeji!!

Babu DC!!

Katika msingi wa mahusiamo... In most cases I am old fashioned... Hivo nakubaliana na hii justification yako DC.... Ingawa sijakupata kwenda kwa mganga in relation na tukio lenyewe... lol
 
Weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!

Unataka aje kusema hapa nikimbilie kubadili ID!!!

Kunguru mwoga mie,....siweza kucheza kwenye anga za Boss!!

Babu DC!!

Daaaaah!!!!! No comment :shut-mouth: BUT a lot of Kicheko... lol :lol: :lol: :lol:
 
Umeniita? Labeka!

Hehehe... mi sijashindwa kutongoza bana. Nshatongoza siku nyingi niliyepaswa kumtongoza. Na ameshatongozeka na akakubali kutongozeka. Yupo kajikalia nyumbani, nikitaka nagusa bega tu.

Babu una kesi hebu gonga hapa
nyikanavome, umeiba Avatar ya Dogo
 
naweza kusema nimeielewa sana thread....!na pia hata kama nikitoa sababu zitakuwa ni repititive...!

natumia fursa hii kuwashukuru woootee kabisa kuanzia mrusha bandiko ashadii hapo juu mpaka mtu wa mwisho naisoma post yake,post nr 224 ndugu russian roulette...!

labda ushauri tu kidogo kwa wakina dada....!

swala la kutongozwa linaweza kuwa muhimu kwenu ''kwa wakati fulani katika umri zenu''...lakin amini usiamini kuna maisha

mazuri mno zaidi ya hilo la kutongozwa na mahitaji yake ya kimwili....!nasema hivyo kwa kuwa tu kumekuwa na imani

kwamba ukitongozwa utaolewa,au manake we ni mzuri sana machoni pa anayekutongoza...(labda).lakin mi nawathibitishia

kwamba ukitongozwa LABDA PENGINE UTAOLEWA....!au mara zote Utatumika tu...!au pia unatongozwa sana na mfululizo

kwa kuwa tu wewe ni ''easy going woman''...!very cheap one.kwa iyo naweza kusema kwamba ninatamani hata zile

''arranged marriages'' zakina DC zingerudi tu...!kwasaabu gani mi naona kutongozwa katika kipindi hichi siku zote na kwa

asilimia kubwa huwa ni AFTERMATH YA MATAMANIO TU...!i mean we unaweza furahia kutongozwa alaf very late na

umeshatumika sana unagundua ni mume wa mtu...!you will never be happy!..

saaasaaa baasi...!mi narudi pale pale...!kuna furaha ya msingi zaidi katika maisha yako zaidi ya hilo la kutongozwa...!kuna

mambo ya msingi na mazingira ya msingi kabisa ambayo ni lazima uyaandae na kuyafanya kwa pamoja ili uweze kucatch

up na ''the right person'' wa kukutongoza...!

nawahurumia sana wanawake kwa kuwa tu nimekuwa nikifikiri sana ni kwanin wanakuwa na desperations (hasa za

kutongozwa)....?!nimewahi sikia redio fulan za hapo dar wanawake wanaongea kwa kujiamini na kujidai kwamba

''wanamzimia ALIKIBA''...!yani wao wako radhi kwa lolote...!mwingine anasema anamzimia ''MR BLUE''...!sasa hizi ni dalili za

kukata tamaa..!katika hali ya kawaida alikiba au blue watawaweza kweli???...wana wanawake wangapi hao

mastaa??...halaf wakiachwa wanakimbilia kwenye magazeti ''ooh...nimevunjwa moyo''!....

chonde chonde dada zangu....!YOU TAKE TIME TO LIVE BECAUSE THE WORLD HAS SO MUCH TO GIVE!...

I mean msihangaike nayo sana hayo...!ni mambo ya kupita sana!...yana wakati wake pia

Pamoja na mila ,desturi na utamaduni wa jamii kubadilika badilika kutokana na mazingira ni hili la mwanadamu kutafuta wat z best for them ,furaha ,best 4 the life n.k n.k kwahiyo hata kwenda against hizo z b'se of hizo hizo stimuli to changes.(Reason;life is about Love ,Enjoyment and Happyness.........n ofcoz na money pia)
 
Katika msingi wa mahusiamo... In most cases I am old fashioned... Hivo nakubaliana na hii justification yako DC.... Ingawa sijakupata kwenda kwa mganga in relation na tukio lenyewe... lol

Kuna watu wanakuwa hawana courage kabisa hadi wapate extra powers....

Ndo maana mambo ya waganga wa kutoa dawa za kusaka wapenzi enzi zile walikuwa wengi sana!

Siku hizi nasikia wanauza dawa za kuongeza nguvu, kupunguza diameter, kuongeza makalio, kurudisha heshima na vitu vingine vya namna hiyo....

Enzi zetu hayo hayakuwa matatizo kabisa...Anyway kila enzi na kitabu chake!!

Babu DC!!
 
It takes a true man kujua hilo... BUT It takes a true and understanding Woman kuelewea kua kumiliki kwake gari sio kigezo kua ataemtongoza nae awe anamiliki. Kumbuka kua bahati mbaya saana idadi kubwa na wanawake ambao wamebahatika kua na usafiri kua na ka attitude ka kujenga dharau towards a man on foot. Ki halisia kama mwanamke ana gari na mwanaume hana na wote ni werevu it is so simple to cope!

Hata hivo back to the issue at hand... Matola yahitaji nguvu fulani ya ziada... Kusema kweli chukulia wamtongoza mwanamke mwenye usafiri na wewe huna it tends to discourage a bit... else uwe na plans na una uwezo kabisa wa kuweza miliki gari but kwa sababu za msingi zozote zile huna gari kwa wakati huo.

Naamini kwa dhati kabisa kua one having usafiri ina toa mwanga ya walau level ya uwezo wako.... na Matola... I believe you and I kno kua mahusiano ambayo mwanamke kifedha yupo juu ya mwanaume huleta shida in the long run. Ladbda kama wapo for fun and sex tu!

Hii post yako inajitosheleza, kwa sababu nimeshuhudia hata madereva wa STJ na STK wakipata wachumba na wake mitaani kwa zile resource za serikali, hapa bado sijajuwa gari limewekewa uchawi gani ndani yake!
Unaweza kukuta mtu amejibana na kusave income yake na akafanikiwa kujenga nyumba nzuri na standard lakini kina dada wa kiswahili wao humthamini mwenye gari! very interesting.....

Sijaelewa bado Waswahili hasa wana vigenzo gani kumvalue binadamu, last time wakati nasafiri kwenda UK sikuhitaji family member yeyote kunisindikiza Airport kwa sababu ndege ilikuwa inaondoka saa 10 usiku, kwa hiyo kuna pub moja ya mama mmoja mtaani nilikaa ili kubuy time, muda ulivyofika nikaawaga yeye na mabinti zake bomba sana,then nikaondoka na tax driver tu. sasa baada ya kurudi yule Mama amegeuka yeye ndio kuwadi wa Binti yake akitaka kwa udi na uvumba tuwe wapenzi na wakati mimi namfahamu fika yule msichana ana mtu wake na nikimuweka kwenye kipima joto ni kwamba ameshanipa all Green light, lakini busara zangu zimenituma nisitishe mazoea ya kunywa pale.

Sasa basi nikirudi kwenye point yako ya msingi yaani all of this nonsence yaani kwa mswahili hivi visafari vya kwenda mtoni ni CV ya kukubalika kwenye jamii, hapa ndipo tatizo la msingi kama jamii limetukumba na bila ya kubadilika kifikra basi ipo kazi.
 
I think it is more out of knowing ones self.... HAKUNA mtu ambae ni mbaya moja kwa moja OR un interesting moja kwa moja..... Ukijijua it is a Great thing.... Kama mazingira yako ni yale ambayo hayawezi entertain utongozwaji and you like it that way then it is OK.

A lady akijitambua it is good.... then atatambua tatizo lipo wapi.... Akijua kua hatongozwi for she looks too expensive... inabidi ajitahidi kujiweka katika hali ambayo itamuonesha mtu wa kawaida... degrade the type of car aendesha (Instead of my dream car Range Rover... waishia zako kwenye Vitz); Akijijua kua yeye ni mbaya.... then atafute kitu ambacho ni kizuri katika mwili wake, iwe boobs, iwe butt, iwe nywele, iwe miguu or whatever na make them seen as part of the beauty... sina maana akae uchi or nusu uchi... no! the type of clothe you choose pia hapa matters.....

thanks AD ,ila hapa na disagree na this openly ,why should you degrade yourself?(Reason;its very expensive to run away from yourself)
ila hapo kutumia kitu ambacho ni kizuri kwake ,100% nakubaliana na ww b'se of the same reason as above.

Ishu ya kujitambua na nini unataka z very important sana(Reason;it will make you love yourself ,enjoy life and be happy with your deeds ,soroundings etc)

my take;ishu ni kujichanganya na watu ,so that pipo can get to know your good part (si unajua tena b'se of infireority complex watu waliokuzunguka may see you differently from who you are b'se simply tu hujawapa nafasi of knowing who exactly are you)
 
Hii post yako inajitosheleza, kwa sababu nimeshuhudia hata madereva wa STJ na STK wakipata wachumba na wake mitaani kwa zile resource za serikali, hapa bado sijajuwa gari limekewa uchawi gani ndani yake!
Unaweza kukuta mtu amejibana na kusave income yake na akafanikiwa kujenga nyumba nzuri na standard lakini kina dada wa kiswahili wao humthamini mwenye gari! very interesting.....

Sijaelewa bado Waswahili hasa wana vigenzo gani kumvalue binadamu, last time wakati nasafiri kwenda UK sikuhitaji family member yeyote kunisindikiza Airport kwa sababu ndege ilikuwa inaondoka saa 10 usiku, kwa hiyo kuna pub moja ya mama mmoja mtaani nilikaa ili kubuy time, muda ulivyofika nikaawaga yeye na mabinti zake bomba sana,then nikaondoka na tax driver tu. sasa baada ya kurudi yule Mama amegeuka yeye ndio kuwadi wa Binti yake akitaka kwa udi na uvumba tuwe wapenzi na wakati mimi namfahamu fika yule msichana ana mtu wake na nikimuweka kwenye kipima joto ni kwamba ameshanipa all Green light, lakini busara zangu zimenituma nisitishe mazoea ya kunywa pale.

Sasa basi nikirudi kwenye point yako ya msingi yaani all of this nonsence yaani kwa mswahili hivi visafari vya kwenda mtoni ni CV ya kukubalika kwenye jamii, hapa ndipo tatizo la msingi kama jamii limetukumba na bila ya kubadilika kifikra basi ipo kazi.

Suala la gari kwa akina dada ni kitu ambacho ni kigumu kukieleza....Mtu akiwa na gari hata la boss au mjomba wake anaweza kujipatia wasichana hata 10 mtaa mmoja....

Ila na dada akishakuwa na gari...basi tena, huna naye viwango vyake vimeshapita TBS...hakamatiki tena!

Kuna kajukuu kamoja kalikuwa kananisimulia kuwa siku hizo kwenye hostel za vyuo, kuopolewa na kijana hana gari ni kashfa ya kuua mtu....!!

Anyway....Dunia ni yao....!!

Babu DC!!
 
Pal I believe upo katika majority ya wanaume ambao wanapenda level fulani ya shyness katika mwanamke..... lol (Source: maelezo kwenye quoted post); Hapa naona ndio pale ambapo mwanamke kama mwanamke inatakiwa ajue kua as much as mmzezoeana... daima level ya aibu haitakiwi ipungue kwa mpenzi wako..... For moja ya furaha in a man naamini ni yeye kujua kua he has a unique and special effect on you (hivo the blush); (Na nahisi waipenda for kama sikosei blushing of a lady can even cause hard on's on some of kaka zetu) Of course you will correct me if I am wrong.... lol

Gademu!!! you are spot one... once again!!!

it is sooo natural and soo rewarding seeing that shyness and blushes out of a beauty!! and you are very right (hapo kwenye hard on... ni balaa):A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused:
 
Kuna watu wakuwa hawa na courage kabisa hadi wapate extra powers....

Ndo maana mambo ya waganga wa kutoa dawa za kusaka wapenzi enzi zile walikuwa wengi sana!

Siku hizi nasikia wanauza dawa za kuongeza nguvu, kupunguza diameter, kuongeza makalio, kurudisha heshima na vitu vingine vya namna hiyo....

Enzi zetu hayo hayakuwa matatizo kabisa...Anyway kila enzi na kitabu chake!!

Babu DC!!

hahahaha..... hahahaha... hahahaha..... Dah! Haya bana.... lol

Kweli Mapenzi yana RUN dunia.... Ndio maana mimi napenda saana kuona watu wapo in Love... sharing Love.... And hata also being In love....
 
Halafu na wewe leo umekuwa mchokozi kichini chini....

Basi tu babu keshazoea!

Babu DC!!

Mzee DC ni wasi wasi wako tu!
sababu wewe umeamkia kunichokoza (hasa kwenye mambo ya urahisi wa kua na vichochoro) basi wafikiri am doing the same. lol
 
hahahaha..... hahahaha... hahahaha..... Dah! Haya bana.... lol

Kweli Mapenzi yana RUN dunia.... Ndio maana mimi napenda saana kuona watu wapo in Love... sharing Love.... And hata also being In love....

Kweli dada yangu,

Ndo maana hivi vizee vyenzangu vilivyopata EPA za ukubwani viko tayari kugawana na wewe utajiri wao wote kama unaweza kuwaongezea vitu viwili...Siku za kuishi duniani hata kwa miaka mingine 5-10 na uwezo wa kusukuma mikokoteni!!!

Babu DC
 
Alter toka thread imeanza wangapi wamekutongoza hasa kwa pm? lol... Usije kua wewe ndio DC kapania! hahahaha..... (I kid)
Hakuna kabisa. Ila naona kuna mtu anaanza zile gia za kusindikizana (alizo sema aspirin), tena hapa hapa live.

Hahaha kwani unaelekea wapi? Kwenye maandamano? Mabomu ya machozi utayaweza weye?
And now you hope I will say I need protection?

tuache utani, hakuna raha kama kutongoza halafu mwanamke anasmile huku anaona aibu.... kukataa hawezi, kukubali hawezi!!! its a beautiful scene aisee:doh:

Yani ingekua raha unatongoza tu, halafu unaishia kuona ile blushing, tatizo vikikubali ulafi unaanza!!! :wacko:

kigumu tu ni lugha ya kutongozea, kwani haiko yunifomu!!:lie:
MTM, I have heard something similar to that siku chache zilizo pita... kumbe it was not specific to that person? FYI blushing is embarrassing!
 
Back
Top Bottom