Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

Woow!! this topic is good jamani, nimeipenda sana kwakua imenipa nafasi ya kujifunza na kuelewa mambo meengi ambayo kwa kweli sikuwahi kudhani kama kuna darasa la namna hii lingewahi tokea... lol..

Well mi pamoja na kutokua mjuvi saana wa mambo ila pia nadhani Mwanamke kutongozwa hutokana na mvuto alionao, life style yake, the way she talks to people & in-front of others, background history nayo sometimes huchangia plus so many others as others have said... so nadhani kama kuna mwenye kuface tatizo hilo nadhani sasa atakua amepata idea na kuanza kujichecklist taratiibu na kubadili zingatia shauri mbalimbali zilizojadiliwa hapa...

ila pia siungi mkono hoja ya kusema kwamba kumtongoza mwanamke ni kumdharau na kumshushia heshima kama mwingine alivyosema hapo awali..
Kwani watu hutongozana kwa madhumini mbalimbali yakiwemo ya kuanzisha/kutengeneza mahusiano either yawe ya muda mfupi au ya kudumu, sometimes au just kukidhi haja fulani tu.. so kwenye kutongozana kuna mengi na si dharau bali ni maridhiano na mostly huwa ya hiari depends na how tempting approach is mpaka watu wanaafikiana..
 


Dah! Nimeshindwa la ku comment...lol. Naona somewhere humu ndani kuna sehemu nimetereza na nimetoa picha sio.... lol... Maana Matola has proven that....
 
Asante dada yangu kipenz,
Leo nimejifunza mangi na tayari nishajua mie ni wa aina ipi lol!

Nashukuru leo babu yko bize na asali yake na hatujachakachua sred yako!!!
 
...Siberia!....sote twajua ni ughaibuni, lakini sijasikia mtu anang'ang'ana kwenda huko..
mvuto wa mwanamke watokana na "vibes" zake mwenyewe...anayejikweza kuliko "uzuri" wake
anajipunguzia mvuto wake wa asili.


Mbu I have an extra ticket ya kuenda Siberia for the weekend.... If you would like to go....lol

On a serious note.... Nimekupata... Mwanamke ana nafasi yake ya kucheza kama yeye ili kuweza achieve hilo.....
 
Asante AshaDii..nitakaribia. Huyo samaki mkavu wa namna hiyo sijawahi kuonja....itakuwa mara ya kwanza!


Naahidi utapenda! lol karibu....
 
Reactions: SMU
Dah! Nimeshindwa la ku comment...lol. Naona somewhere humu ndani kuna sehemu nimetereza na nimetoa picha sio.... lol... Maana Matola has proven that....

Wala usijari sana kuteleza kama bado unaweza kupiga hatua...cha msingi ni hoja yenyewe...maana imagine kama lesson inayotoka hapa ni kuwa kutongozwa keeps women feel better. Basi wanaume wengi si wavivu wa kujituma...watakuwa wanatongoza huku wakijua sio lazima kupata ila kuwezesha ma friend on the other side ajisikie na yeye yupo!Ila ukimuonea huruma itakula kwako ingawa sio priority kivile
 


Kama kweli this is your only ID then dear it seems you are one busy guy..... Na I am humbled kua umepata mda wa kuweza changia mada yangu.... THANK U. For I have observed you have 8 posts in 6 years.... I am hoping I/we will be seeing more of you hapa Jamvini hasa MMU..... :focus:


Nakubaliana na maneno yako yote ya almost the whole post. Ila tu naomba nirudi hapo nilipo weka blue... Tukizungumzia tokea katika jamii yetu hii ya Kitanzania.... kwa kweli mwanamke kumtongoza mwanaume yahitaji mwanaume alo na busara saana ila ukweli unabaki kua bado kaka/baba zetu like it better kama wao ndio waliwatongoza wanawake wao....
 
Asante dada yangu kipenz,
Leo nimejifunza mangi na tayari nishajua mie ni wa aina ipi lol!

Nashukuru leo babu yko bize na asali yake na hatujachakachua sred yako!!!


Good thing about babu yako yeye anakutreat the way wewe wataka kua treated.... na ndio maana katika shemeji zangu woote huyo ndio "Darling shem" sababu he is so darling to me..... lol


Mbona sasa hujaniambia wewe ni wa aina ipi?
 
Mie kuna sehemu na sehemu, inategemea, kuna sehemu kama nataka attention ya mitongozo najiweka hivyo,kuna sehemu sitaki kabisa mitongozo kama kwenye hafla za kiofisi,kanisani, uso nitaukunja hata nikiona jicho la mtu yeyote yule linaniangalia.....ila mwanamke kutongozwa bwana ndio mpango mzima,kwa wakati muafaka lakini
 


Hapo ndipo ambapo wengine wameshindwa nipata.... lol.. Sikumaanisha kua ni lazima mwanamke atongozwe so as to feel better.... No. I just analyzed as in why other women are not tongozwad... lol .... Ingawa yes ni moja ya kitu ambacho chaweza fanya baadhi ya wanawake ku feel better or good about themselves....
 
Mwanamke ukitongozwa inawezekana umependwa kweli au bidhaa yako inaonekana ni rahisi kupatikana.


Uko sawa kabisaa niece.... na mara nyingi sababu za kutongoza huendeshwa na sababu ya urahisi kupatikana kuliko hata haa upendo....
 
........Itifaki imezingatiwa & masharti na vigenzo kuzingatiwa pia! :cool2:



Data ulotumia ku draw hayo... I have a feeling ipo corrupted.... :wink2:
 


Mkuu kwenye hili sikubaliani na wewe, sio lazima mwanamke kuwa busy au kutosocialise ndio kunamfanya asiwe mama bora nyumbani. Saa nyingine mtu akiwa single anaona bora tu ale mzigo coz hanakitu cha zaidi cha kufanya akirudi home or something looking forward to.

Kazi inakuwa kama kipozeo
 
Uko sawa kabisaa niece.... na mara nyingi sababu za kutongoza huendeshwa na sababu ya urahisi kupatikana kuliko hata haa upendo....

wewe na anko mlikuwa mnajikumbushia honeymoon?
 

Hope your weekend was cool mpaka ukatuletea mada ya hoja kama hii, lol!! Dam, halafu kutongoza ingekuwa kama nayo inahitaji shule, mbona ingelikuwa ni issue...ndo maana wazee wetu walirahisha sana mambo. Walikuwa wana negotiate na wenye mzigo juu kwa juu unakuja kubwagiwa tu ujilie mpaka uvimbiwe, lol!
 
Good thing about babu yako yeye anakutreat the way wewe wataka kua treated.... na ndio maana katika shemeji zangu woote huyo ndio "Darling shem" sababu he is so darling to me..... lol


Mbona sasa hujaniambia wewe ni wa aina ipi?
Heee heee hee,
Sisy bana,
Muulize shemeji yako Rejao ananijua kuliko nijijuavo mwenyewe lol!
 
Uko sawa kabisaa niece.... na mara nyingi sababu za kutongoza huendeshwa na sababu ya urahisi kupatikana kuliko hata haa upendo....

Sawa kabisa ADI,...hongera kwa kazi nzuri uliyoifanya leo....

On the other side...Mwanamume ambaye hatongozi tongozi yeye anaonekanaje?? ....Hapa tuna-exclude wanaotafuta wachumba!!

We need to know where some of us (the BBCs) are positioned katika hii mada!!

Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…