mcbenfrank
Member
- Mar 9, 2006
- 11
- 4
Woow!! this topic is good jamani, nimeipenda sana kwakua imenipa nafasi ya kujifunza na kuelewa mambo meengi ambayo kwa kweli sikuwahi kudhani kama kuna darasa la namna hii lingewahi tokea... lol..
Well mi pamoja na kutokua mjuvi saana wa mambo ila pia nadhani Mwanamke kutongozwa hutokana na mvuto alionao, life style yake, the way she talks to people & in-front of others, background history nayo sometimes huchangia plus so many others as others have said... so nadhani kama kuna mwenye kuface tatizo hilo nadhani sasa atakua amepata idea na kuanza kujichecklist taratiibu na kubadili zingatia shauri mbalimbali zilizojadiliwa hapa...
ila pia siungi mkono hoja ya kusema kwamba kumtongoza mwanamke ni kumdharau na kumshushia heshima kama mwingine alivyosema hapo awali..
Kwani watu hutongozana kwa madhumini mbalimbali yakiwemo ya kuanzisha/kutengeneza mahusiano either yawe ya muda mfupi au ya kudumu, sometimes au just kukidhi haja fulani tu.. so kwenye kutongozana kuna mengi na si dharau bali ni maridhiano na mostly huwa ya hiari depends na how tempting approach is mpaka watu wanaafikiana..