Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

Hakuna kabisa. Ila naona kuna mtu anaanza zile gia za kusindikizana (alizo sema aspirin), tena hapa hapa live.
Kama ni maandamano ya CCM nitakuwa ready kukusindikiza maana najua lazima ubwabwa utakuwepo.

And now you hope I will say I need protection?
Maandamano ya Chadema huwa yanapewa protection? Sitii mguu huko. Mie na washawasha, ni big no. Sitaki kuwashwa washwa aisee.

MTM, I have heard something similar to that siku chache zilizo pita... kumbe it was not specific to that person? FYI blushing is embarrassing!
Kwenye suala la blushing, where there is a conflict kati ya raha na embarrassment, the former prevails without any doubt. I hope this settle the matter.
 
mie navuta na sigara, nije?
Sitawakera na sigara zangu?

Hivi nyie watu bia mnakunywa saa ngapi? serikali inakosa mapato nyie mmekaa hapa kujadili mitongozo. hebu njooni huku tulipe kodi serikalini bana (sori ADI fo zis ofutopiki)
 
Asakute.... belive me you degrading (kujishusha) one's self ni muhimu saana. Naomba tu ukubali hasa katika maswala yahusuyo mapenzi.... Mimi natamani wale wote wenye pesa ndefu wanapotafuta life partners wangekua wanajishusha kuhakikisha wapata the rite woman or man for dunia ya sasa watu wakukubali kwa kile ulicho nacho. Unaonaje raha ambayo waweza pata kama umepata mwanamke ambae anakuona wa kawaida na akakupenda hivo hivo only to find baadae kua you are more than hapo alipokufikiria?
AD....mtu anayekuwa na wewe kwasababu ya status yako ,utagundua tu km yupo material wise .....na kujidegrade znt the solution ya hili kwakweli and my take naona km utakuwa siyo wewe ulivyo( belive me or not utajua tu)
 
Hivi nyie watu bia mnakunywa saa ngapi? serikali inakosa mapato nyie mmekaa hapa kujadili mitongozo. hebu njooni huku tulipe kodi serikalini bana (sori ADI fo zis ofutopiki)
hili nalo linahusika sana babu........
 
Umenichekesha sana wewe ADi,

Naamini leo you had a great day...extension ya wk end,

Umenikumbusha enzi za ujana wetu...We believed kwamba mtu akipendeza sana lazima apewe zawadi ili kumtendea haki....Hata kama anataka kutoka na marafiki zake basi inabidi asubiri zawadi yake kwanza!!!!!!

You deserve one today....Lol!!!

Babu DC!!!


Aww jamani DC.... You have melted me na hii post (ki dada na kaka; ile ya good faith :wink2🙂

Zawadi yangu nini sasa? lol
 
ADi,

Naomba basi uchukua ma uzoefu yetu wote ambayo wadau wamemwaga hapa, utengeneze muhtasari ili wale wenye shida wapate msaada...

Unaonaje.....Tell me if you need help!

Babu DC!!



Nitanyia kazi... ila help is certainly needed.... Asante kwa wazo zuri.
 
Lol. . mapenzi na mahusiano dah! mapenzi yanarun dunia! sababu nyingi zinasababishwa na infriority complex ya kaka zetu! mwanamke ajifanyishe wa chini ili atongozwe? yani ingekuwa kwa mila zetu mwanamke unaweza ukaanza ingekuwa bora sana jamani!
Umeonae
 
very true ,its not nonsense(evertone wants best 4 their kids,,,,,,japo huo ubest unatofauti) hata wababa wapo siyo wamama tu.......... Little confession; nilimpatia binti X some service ninapofanyia kazi ,then nikampatia Mama wa X service.......at 1st binti X aliletwa na her farther ,then her mother ,hlf tena farther....baba alimleta binti kupata huduma km mara 4 hivi na zote nilijitolea kuwasaidia.

sasa baada ya hapo nikawa napokea calls from the gal's father ,ila inshort ni siku moja nikabipiwa km mara tatu kupiga nakutana na yule binti akaniambia baba yake karudi nyumbani amelewa anamlazimisha kuongea na mimi kwenye 4ne.....the rest waja niache ,ila nilistuka neva expected that kutoka kwa baba wa mtu.



hahahaha..... Asakute I like this.... Watambua kua you are one of the best eeeh?? lol.... Hopefully alokupata/atakake kupata ana deserve. All the Best katika you Love life....
 
Da, AshaDii, mimi kutongoza mara nyingi kumekuwa kukiniletea matatizo makubwa, hususan katika kipindi cha ujana wangu. Sijui nilikuwa nakosea timing au ni mikosi, hata sijui.
Ahsante kwa uzi huu Da AshaDii kwani wanawake watajifunza wasitubanie hata salaam pamoja na kwamba tumeoa lakini tunapenda kufanya Reheasal kujikumbusha mambo ya ujanani................LOL



Katika Ujana kila mtu huchemka!! Hua yawa better as you mature the process na uzoefu pia humauture... Sio wewe peke yako! lol.... Asante Mtambuzi for the acknowledgment kakangu....

BTW hio rehearsal naamini huwa wafanikiwa sasa eeh? lol
 
AshaDii hajatongozwa siku nyingi, so ameleta thread 'as if' kumbe ni yake mwenyewe. lol
Please! unataka nianzishiwe thread na Mama_Enock?

Hapa naona una nia ya kunikorofisha tu na shemejio..... lol.... Alafu Mama E hayupo acha woga! lol

Hivi nyie watu bia mnakunywa saa ngapi? serikali inakosa mapato nyie mmekaa hapa kujadili mitongozo. hebu njooni huku tulipe kodi serikalini bana (sori ADI fo zis ofutopiki)


Don't drink and drive. Mkimaliza mniite nitawa Dereva wetu nitakuja na Body guard wangu Kongosho....lol
 
hahahaha..... Asakute I like this.... Watambua kua you are one of the best eeeh?? lol.... Hopefully alokupata/atakake kupata ana deserve. All the Best katika you Love life....
ha ha ha ha ha ha ha ha! NOT that bana AD ,ndiyo maana pale kwenye mabano nikaandika kuwa huo ubest unatofautiana (Reason; someone may find you the BEST but others the worst)....its very relative term....ila i cnt Neglect tht part of wishing me the best.....thanks alot and Ameeen!
 
Kama ni maandamano ya CCM nitakuwa ready kukusindikiza maana najua lazima ubwabwa utakuwepo.
Hahahaha, naona unaendela tu. Kwanza you want to come with me, sasa unataka kula. Baadae utasema you know a good place, and before we know it, it is a date. maujanja ya secondary school hayo! :hand:


Kwenye suala la blushing, where there is a conflict kati ya raha na embarrassment, the former prevails without any doubt. I hope this settle the matter.
Kwa nini the matter is settled? Because you say so? how selfish! lol. hiyo in bold, does it apply every time there is such a conflict au ni kwenye swala la blushing peke yake?:wink2:
 
Back
Top Bottom