Mwanamke kuvaa nguo ya mumewe/mpenzi....

Napenda sana mke wangu aje avae mpaka viatu vyangu ,vyangu ni vyake
 
Mimi kuna mazi angu alikuja kunitembelea almost 2days, alipotaka kuondoka aisee alibeba T-shirt na shati akidai kuwa atakuwa ananikumbuka huko aendako, sikujau alimaanisha nini
 
Maana ipo ila ngoja mimi ninyamaze kwanza.
 
Back
Top Bottom