Mwanamke kuvaa nguo ya mumewe/mpenzi....

Heaven on earth sina lakusema mpenzi..maana yote umeshayamaliza...yaani huwa kila ninapovaa hivyo iwe isiwe tutacheza mechi tu
 
Dah!! ngoja kwanza nitibue mchana wa watu hapa........
@jawlat hivi unazikumbuka kawa??
mwali nimejikuta nataman mikeka ile ya ukili sio hii ya kichina ya siku hizi, halafu ndo uko na tshirt na mzee kapiga kitenge/ khanga kiunoni
basi mwali umeandaa wali wako wa nazi na pande la papa wa kuunga ukamnogensha na ngogwe.
unaupakua wali wako kwenye sahan unatengeneza tobo kati kisha waweka pande lako la papa hapo kati na ngogwe zake haalafu juu wafunika na wali tena ukatengeneza kichuguu.............
yarabi mieee............unamtengea mumeo mkekani unaufunika na kawa iloandikwa "JAMANI KUPENDANA RAHA"
MKEKA nao unasomeka KARIBU MPENZI ................

Jamaniiiiiiiiiiiiiii............................. snowhite malizia bwana aaah!!

.

aaaahhh kawa naifaham sanaa
 
Last edited by a moderator:

mahaba nihabue yailahiiiiii!
mwali hebu niache!
 
Heaven on earth sina lakusema mpenzi..maana yote umeshayamaliza...yaani huwa kila ninapovaa hivyo iwe isiwe tutacheza mechi tu

Ndio kusema umejiunga JF ili tu ujibu hiyo post ya Heaven on earth???
 
Last edited by a moderator:
Umeshawahi kukutana na hili?utajisikiaje/unajiskiaje unavyorud nyumbani unamkuta bibie amevaa shirt/t-shirt/pensi ama surual yako?
Au akaomba kuvaa saa yako wakat anatoka!
Unafikiria nini juu ya mwanamke kama huyo?
Mbona haina shida.. Tena inapendeza
 
Back
Top Bottom