Mwanamke kuvaa nguo ya mumewe/mpenzi....

My man used to love it when I'd wear his clothes.AND as FOR ME I like wearing his big shirt with nothing
on the bottom but panties I find it so LOVELY/SEXY.yaani acha tu

I used to love waring his shirt when I cooked up something for us to eat,wen we watch movie etc...rahaje
I think it can be very sexy. To wear it and go out ... not so sexy!

imekuaje tena???

curious to know...ila i am thinking si dhani kama ndio anachokimaanisha .....lugha gongana
 
My man used to love it when I'd wear his clothes.AND as FOR ME I like wearing his big shirt with nothing
on the bottom but panties I find it so LOVELY/SEXY.yaani acha tu

I used to love waring his shirt when I cooked up something for us to eat,wen we watch movie etc...rahaje
I think it can be very sexy. To wear it and go out ... not so sexy!

Hahahahah! Somo hili, walaah leo Preta atakuwa surprised sana! You know what? Ntatokelezea na shanga zake kwa kiuno changu. How sexy will it be? I can't wait!!
 
Last edited by a moderator:
Umeshawahi kukutana na hili?utajisikiaje/unajiskiaje unavyorud nyumbani unamkuta bibie amevaa shirt/t-shirt/pensi ama surual yako?
Au akaomba kuvaa saa yako wakat anatoka!
Unafikiria nini juu ya mwanamke kama huyo?
Mhh mke wanguYe huwa anapenda sana boxer zangu na shirts wakat yupo home. Akifanya shughuli zake na mara nyingi nikimkuta hivyo lazima aelekee kibla. Yaaan lazima mechi isiyo rasmi ichezwe. Kutoka nazo nje Hapana lazima avaae buibui na shungi. Nampenda Sanaa
 
huwa napenda kukuta amevaa tshart zangu za chalsea au yanga africa ingawa anazozake za kike very good esp 4 husbanda ana wife
 
kucha zangu sio ndefu gfsonwin naweza kuwa msaada kupunguza huwa muwasho "kichwani"
 
Last edited by a moderator:
Raha saaana aisee, kuna siku ilitokea mvutano kati ya mie na bf wangu. Ye aling'ang'ania kuvaa skin tyt yangu Mwisho wa siku nilimwachia kweli akavaa na kwenda nayo job. Yaan alikuwa very comfortable!!!

Bf au shost huyo?
 
Mhh mke wanguYe huwa anapenda sana boxer zangu na shirts wakat yupo home. Akifanya shughuli zake na mara nyingi nikimkuta hivyo lazima aelekee kibla. Yaaan lazima mechi isiyo rasmi ichezwe. Kutoka nazo nje Hapana lazima avaae buibui na shungi. Nampenda Sanaa

nafurahi sana kusikia mambo kama haya....
 
huwa napenda kukuta amevaa tshart zangu za chalsea au yanga africa ingawa anazozake za kike very good esp 4 husbanda ana wife

it sounds lovely,napenda sanaaaaa
 
Hahahahah! Somo hili, walaah leo Preta atakuwa surprised sana! You know what? Ntatokelezea na shanga zake kwa kiuno changu. How sexy will it be? I can't wait!!

hahahaaaa hyo sasa mmmmmmhh!
 
Last edited by a moderator:
tamu sana hiyo haswaa jion mrs akiwa amevaa kaptura ya mr kila mmoja akimsaidia mwenzie kuandaa pudin ya tufaa na ndizi...aahh jaman raha ya ndoa hyoo

ahahhahahhaha picha hiyo ya matunda mimi haikunistua sana
ila haya majibu yako yamenifanya nicheke hadi nikae chini watu8 unajua itabidi tusajili kamusi yetu!hii lugha tunaongea hapa walahi tunaongea kichina gfsonwin umeamka?au bado kichwa kinawasha?
 
mwali nimeamka ila leo nimesema sitaki kabisa,
kuingia kuongea lugha yenu..............jana niliwashwa kichwa sana
nasema sitaki kabisa kuongea leo. Halafu ujue hali ya hewa ya safari hii ni nzuriii.........
na log off
 
ahahhahahhaha picha hiyo ya matunda mimi haikunistua sana
ila haya majibu yako yamenifanya nicheke hadi nikae chini watu8 unajua itabidi tusajili kamusi yetu!hii lugha tunaongea hapa walahi tunaongea kichina gfsonwin umeamka?au bado kichwa kinawasha?

hahahaa nlitoka nje ya mada!!nifundisheni na mimi hiyo lugha yetu....
 
Last edited by a moderator:
ahahhahahhaha picha hiyo ya matunda mimi haikunistua sana
ila haya majibu yako yamenifanya nicheke hadi nikae chini watu8 unajua itabidi tusajili kamusi yetu!hii lugha tunaongea hapa walahi tunaongea kichina gfsonwin umeamka?au bado kichwa kinawasha?

Hahahah!!!

Hii lugha huwa naipenda haswa kwenye sredi kama hizi...ni wale wateule tu wa ugreti thinka ndio wanaoelewa.
 
Back
Top Bottom