Mwanamke kuvaa nguo ya mumewe/mpenzi....

Mwanamke kuvaa nguo ya mumewe/mpenzi....

hahahaa nlitoka nje ya mada!!nifundisheni na mimi hiyo lugha yetu....

lugha hii huwa haifundishwi....we uwe unasoma taratibu tu between lines utaelewa...

btw hadi leo bado upo kwenye gwanda za mumeo au umezipeleka laundry room?
 
lugha hii huwa haifundishwi....we uwe unasoma taratibu tu between lines utaelewa...

btw hadi leo bado upo kwenye gwanda za mumeo au umezipeleka laundry room?

hahaa zilishavuliwa toka jana,nasubiri jioni nivae vest huku nikiandaa pudin ya apple +ndizi....
 
:ranger: Nimependajeeeee? Ngoja nami nijichukulie maujuzi hapa
 
Umeshawahi kukutana na hili?utajisikiaje/unajiskiaje unavyorud nyumbani unamkuta bibie amevaa shirt/t-shirt/pensi ama surual yako?
Au akaomba kuvaa saa yako wakat anatoka!
Unafikiria nini juu ya mwanamke kama huyo?

Mie huwa mara nyingi nikiwa nyumbani huwa navaa shirts na tshirts za cotton za gozi langu.

Kizungumkuti siku mwanamme akivaa nguo za mkewe. Hapo sasa!
 
T-shirt na shirt kwangu naona ni jambo la kawaida; ila suruali na pensi .... sipati picha.
 
Mie huwa mara nyingi nikiwa nyumbani huwa navaa shirts na tshirts za cotton za gozi langu.

Kizungumkuti siku mwanamme akivaa nguo za mkewe. Hapo sasa!

lakini si kuna tshirt ya bibie ambayo ata mr anaweza akavaa!!
 
T-shirt na shirt kwangu naona ni jambo la kawaida; ila suruali na pensi .... sipati picha.

pensi inategemea na type ya mwanamke na umbo pia,but its sexy
 
My man used to love it when I'd wear his clothes.AND as FOR ME I like wearing his big shirt with nothing
on the bottom but panties I find it so LOVELY/SEXY.yaani acha tu

I used to love waring his shirt when I cooked up something for us to eat,wen we watch movie etc...rahaje
I think it can be very sexy. To wear it and go out ... not so sexy!

kumbe unafanyaga?
 
Dah!! ngoja kwanza nitibue mchana wa watu hapa........
@jawlat hivi unazikumbuka kawa??
mwali nimejikuta nataman mikeka ile ya ukili sio hii ya kichina ya siku hizi, halafu ndo uko na tshirt na mzee kapiga kitenge/ khanga kiunoni
basi mwali umeandaa wali wako wa nazi na pande la papa wa kuunga ukamnogensha na ngogwe.
unaupakua wali wako kwenye sahan unatengeneza tobo kati kisha waweka pande lako la papa hapo kati na ngogwe zake haalafu juu wafunika na wali tena ukatengeneza kichuguu.............
yarabi mieee............unamtengea mumeo mkekani unaufunika na kawa iloandikwa "JAMANI KUPENDANA RAHA"
MKEKA nao unasomeka KARIBU MPENZI ................

Jamaniiiiiiiiiiiiiii............................. snowhite malizia bwana aaah!!

.
 
Last edited by a moderator:
tamu sana hiyo haswaa jion mrs akiwa amevaa kaptura ya mr kila mmoja akimsaidia mwenzie kuandaa pudin ya tufaa na ndizi...aahh jaman raha ya ndoa hyoo

Kwa wale wabara wasioelewa Kiswahili fasaha, hapo anamaanisha "apple".
 
My man used to love it when I'd wear his clothes.AND as FOR ME I like wearing his big shirt with nothing
on the bottom but panties I find it so LOVELY/SEXY.yaani acha tu

I used to love waring his shirt when I cooked up something for us to eat,wen we watch movie etc...rahaje
I think it can be very sexy. To wear it and go out ... not so sexy!

Why past tense?
 
Back
Top Bottom