Mwanamke kuzaliwa Uchagani tu ni form six!

Kwa muktadha huu ina maana kwa binti aliyesoma hadi kidato cha nne ni Profesa kabisa...sikiliza ndugu

Kwa wakati na zama tunazoishi sasa ni mtu mwenye ram ndogo kichwani tu anayeweza kuishi kutegemea historia...
Utakubaliana nami kwamba mafanikio na kutokufanikiwa kwa mtu ni kutokana na kutokuwa na vipaumbele kwenye mambo yake ya kila siku na ikiwa ana mipangilio basi ni ile ya bora siku ziende...

Tasnifu yako imekaa kiujumla sana na sampuli ulizotumia nadhani ni mbili kutoa mawazo yako haya...
Ni vyema wakati mtu anatafuta mwenza akawa na sababu za ni mwenza wa aina gani anataka...unaweza kumlaumu mwenzio kwamba amekosa maendeleo kwa kuwa kaoa mwanamke mpenda disco,usichokijua ni kwamba lengo la huyu bwana ilikuwa kuishi na dancer! Oa hata benki kama inaoleka,ila kama huna discipline ya maisho uone utaishia vipi...
 
ha ha ha ha umesahahu aiseee chali ila kweli wagogo wavivu sana..alafu walalamishi sana
Nimewaona saaana.. Jamaa wana maisha ya ajabu sana, Nyumba zao ambazo zina bati juu (sio zote) hawapigi misumari, wanaweka mawe juu ilikuzuia zisiezuliwe. Basi nkawauliza kwanini wasipige misumari, kumbe wanaweka vile ili kutokuharibu bati. kipindi cha hali ngumu huwa wanatoa zile bati na kuziuza kwa bei nzuri.
 
...aliyesema hivyo ana tatizo pia!
kunyanyapaliwa kupo popote, mfano ukienda huko kwetu wanasema usijaribu kutuletea mnyakyusa..why?..mie hata sielewi kwa nini hadi karne hii bado tunaangalia vitu vya namna hiyo!!

Mliokombolewa namna hiyo mko wachache sana.....unaweza kukubalika kwa wachache then wengine wote wakakuchukia...hakuna kitu nnakipenda maishani kama peace of mind
Kwetu sisi sio wabaguzi....tena sisi tunaoana sana na wanyakyusa ungejua maana tamaduni zetu zinaendana kwa sehemu...
 

Kiukweli wale watu ni tatizo sana
 
Ni kweli kabisa ukioa mchagga, ujue ni graduate wa ubaguzi, udini, wizi, uchoyo kwa ndugu zako, uroho, roho mbaya,ushamba, ukichaa na uwezo mdogo wa kuchambua masuala kwa kutumia global perception badala ya chagga perception.

Acha uongo wewe wachaga hawana roho mbaya kwanza ni wajanja watafta hela in all aspect za maisha wana think beyond ya kila kitu
 
Ok! Ngoja nianze kumtafiti Mzee Ben Nkapa, Sumaye, Regina Lowwasa, najua wake zao ni wachaga! then nitakuja na jibu hapa! ver soon
 
Ila nadhani elimu pia haijawafikia vya kutosha, Wanasikitisha sana.

Kuna baba mmoja alijitolea kuwasaidia watoto wawili wa huko huko shule hawataki wakaiba laki moja wakacha na shule wanaendelea kuomba tu mjini huku ... wapo kama wamelaaniwa wasiendelee....
 

umeolewa na mchaga enhee alaf inaonekama kila cku unagawa t-g-o.
 
Acha uongo wewe wachaga hawana roho mbaya kwanza ni wajanja watafta hela in all aspect za maisha wana think beyond ya kila kitu

wauwaji wakubwa wakiona mme ana hela ni bora amuuwe apate hela. mbona kuna wakinga, wapogoro wa form 4 wana hela kuliko hao wachaga wenye dgr, achen kuf...r w a
 
kwa kitandani hasa wanawake unaliongeleaje hilo

cc miss chaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…