miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Haswaaaaaaaa wengne co wanawake
wengine mabinti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswaaaaaaaa wengne co wanawake
wengine mabinti
Teh, unangoja nini mpaka muda huu?
Utazeeka na usichana wako.
Nimewaona saaana.. Jamaa wana maisha ya ajabu sana, Nyumba zao ambazo zina bati juu (sio zote) hawapigi misumari, wanaweka mawe juu ilikuzuia zisiezuliwe. Basi nkawauliza kwanini wasipige misumari, kumbe wanaweka vile ili kutokuharibu bati. kipindi cha hali ngumu huwa wanatoa zile bati na kuziuza kwa bei nzuri.ha ha ha ha umesahahu aiseee chali ila kweli wagogo wavivu sana..alafu walalamishi sana
...aliyesema hivyo ana tatizo pia!
kunyanyapaliwa kupo popote, mfano ukienda huko kwetu wanasema usijaribu kutuletea mnyakyusa..why?..mie hata sielewi kwa nini hadi karne hii bado tunaangalia vitu vya namna hiyo!!
Nimewaona saaana.. Jamaa wana maisha ya ajabu sana, Nyumba zao ambazo zina bati juu (sio zote) hawapigi misumari, wanaweka mawe juu ilikuzuia zisiezuliwe. Basi nkawauliza kwanini wasipige misumari, kumbe wanaweka vile ili kutokuharibu bati. kipindi cha hali ngumu huwa wanatoa zile bati na kuziuza kwa bei nzuri.
Ila nadhani elimu pia haijawafikia vya kutosha, Wanasikitisha sana.Kiukweli wale watu ni tatizo sana
Ni kweli kabisa ukioa mchagga, ujue ni graduate wa ubaguzi, udini, wizi, uchoyo kwa ndugu zako, uroho, roho mbaya,ushamba, ukichaa na uwezo mdogo wa kuchambua masuala kwa kutumia global perception badala ya chagga perception.
Ila nadhani elimu pia haijawafikia vya kutosha, Wanasikitisha sana.
Upumbavu tu huu...so what?
Una akili sana wewe...........
Hujakosea chochote hapo.
Anayebisha anione ili nimpe viambatanisho.
Kimaisha! wakuu niwaambie wanawake wakichagga ni quite different from others. Ukioa mwanamke wa kichagga darasa la saba hana tofauti na mwanamke mwenye digrii from another tribe.
Nayasema haya baada yakuona mengi sana, katika haya maisha. Lots of chagga guys waliokuwa na maisha mazuri, then wakaoa wadada tofauti na kabila lao, wameenda chini kimaendeleo.
Itokee bahati mbaya jamaa atwaliwe, ndiyo kila kitu kinakufa chunguza utaona hata wewe. Kwa wale waliowapata wakichagga at least wanamaintain na mafanikio kwenda juu.
Hata wanaume wakutoka maeneo mengine, akibahatika kuoa mchagga ni kwamba kwa kiasi kikubwa maisha wanayamaintain, na hutasikia things goes down hata jamaa akiondoka duniani.
Najua hapa kuna watu wa aina mbalimbali na inawapasa mkubaliane na hali, wanawake wakichagga wako tofauti kabisa kabisamna wanawake wa makabila mengine in real sense of success.
Acha uongo wewe wachaga hawana roho mbaya kwanza ni wajanja watafta hela in all aspect za maisha wana think beyond ya kila kitu
kwa kitandani hasa wanawake unaliongeleaje hiloKimaisha! wakuu niwaambie wanawake wakichagga ni quite different from others. Ukioa mwanamke wa kichagga darasa la saba hana tofauti na mwanamke mwenye digrii from another tribe.